Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Amen ๐Ÿ™ ๐Ÿ™

Karibu Togwa Mkuu, Bibi yenu ameiandaa vizuri sana kwa kweli. So delicious ๐Ÿ˜‹
Dah, umenikumbusha mbali sana, kuna siku nilienda vijiji vya morogoro ndani ndani huko, aise walinipa togwa ya mtama wameweka na sukari ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿฅถ๐Ÿฅถ๐Ÿฅถ,, nilitapika
 
Mkuu tafuta hela sana ukiona mwanamke anachoka anazeeka ujue hana matunzo usitudanganye kwamba anaishi maisha safi aalf azeeke kizembe hiyo ni chai ww cha msingi mtunze mkeo pambana maana akichoka atatunzwa na wanamtaa.
 
Mwili wake umetanuka kwa sababu amejiachia kimaisha, Sasa ishu inakuja kwenye Urembo/kujipodoa, ndo changamoto,
 
Mwili wake umetanuka kwa sababu amejiachia kimaisha, Sasa ishu inakuja kwenye Urembo/kujipodoa, ndo changamoto,
Acha kujieleza sana huna hel huwezi mtunza mwili umetanuka au umelegea kwa kukosa lishe vipi asee unakwama wapi unajieleza sana ili watu wakuelewe ila unajionyesha ujinga wako ww jitahhidi umuhudumie huyo unayemuita mkeo
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€, Alooo,
Sawa mkuu, Nimekuelewa
 
Mliapa kwenye shida na raha. Ndo shida zenyewe hizo mkuu

Urembo na uzuri wa mwanamke hupungua kadiri umri unavyosonga
Ulikutana nae nyonyo lipo stiff, ukianza kulinyonya nyege kama zote mkuu, anakuzalia watoto watatu na kazi inaishia hapo..dadeq, linalalaaaa, japo kuna exceptions(wapo wanaobaki na nyonyo zao za ubinti).

Ndio zinaitwa "katika shida na katika raha"!!
 
Hiki ndio kipindi baadhi ya wanaume wanaanza hata kuwa wavivu kuongozana na wake zao wakicheki wife nyonyo zimeshuka, body haieleweki imenenepeana kama pipa hizi mambo bana.

Ila hakuna kitu kitamu na kinaheshimisha kama kuzeeka na mke wako wa ujana

Mnatoa bonge la lesson kwa watoto, wajukuu na jamii itawaheshimu. Halafu itokee mzee ulikuwa umejipanga kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ