Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝,
• Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza.

• Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana kuzeeka zaidi ya umri huo, ndicho sikielewi.

• Nimeona wanawake na marafiki wa umri wake bado wanavyoendelea kuwa wabunifu na kufuata mtindo wa mitindo ya maisha, lakini mke wangu hafanyi bidii tena kuchukulia mitindo kwa uzito.

• Anavaa nguo yoyote ile, bila kujali tukio. Huenda hamtanielewa kuhusu hili, kwa sababu zamani alikuwa anazingatia haya kabla hatujapata mtoto wetu wa kwanza. Labda tuseme maisha magumu, sikweli, hapitii kwenye mazingira magumu, maisha yetu ni ya kutosha namlisha vizuri kila siku.

• Hivi ni nini kinachoendelea??
• Wanaume mliooa, mnahisi hivi pia kama ninavyohisi mimi?, Namaanisha wale waliooa kwa miaka 5-10 na zaidi.

........ Hadithi ya kijana aliyefunga ndoa miaka 11 iliyopita." 😎.
Mkuu tafuta hela sana ukiona mwanamke anachoka anazeeka ujue hana matunzo usitudanganye kwamba anaishi maisha safi aalf azeeke kizembe hiyo ni chai ww cha msingi mtunze mkeo pambana maana akichoka atatunzwa na wanamtaa.
 
Mwili wake umetanuka kwa sababu amejiachia kimaisha, Sasa ishu inakuja kwenye Urembo/kujipodoa, ndo changamoto,
 
Mwili wake umetanuka kwa sababu amejiachia kimaisha, Sasa ishu inakuja kwenye Urembo/kujipodoa, ndo changamoto,
Acha kujieleza sana huna hel huwezi mtunza mwili umetanuka au umelegea kwa kukosa lishe vipi asee unakwama wapi unajieleza sana ili watu wakuelewe ila unajionyesha ujinga wako ww jitahhidi umuhudumie huyo unayemuita mkeo
 
😀😀😀, Alooo,
Sawa mkuu, Nimekuelewa
 
Mliapa kwenye shida na raha. Ndo shida zenyewe hizo mkuu

Urembo na uzuri wa mwanamke hupungua kadiri umri unavyosonga
Ulikutana nae nyonyo lipo stiff, ukianza kulinyonya nyege kama zote mkuu, anakuzalia watoto watatu na kazi inaishia hapo..dadeq, linalalaaaa, japo kuna exceptions(wapo wanaobaki na nyonyo zao za ubinti).

Ndio zinaitwa "katika shida na katika raha"!!
 
Hiki ndio kipindi baadhi ya wanaume wanaanza hata kuwa wavivu kuongozana na wake zao wakicheki wife nyonyo zimeshuka, body haieleweki imenenepeana kama pipa hizi mambo bana.

Ila hakuna kitu kitamu na kinaheshimisha kama kuzeeka na mke wako wa ujana

Mnatoa bonge la lesson kwa watoto, wajukuu na jamii itawaheshimu. Halafu itokee mzee ulikuwa umejipanga kimaisha
 
Back
Top Bottom