Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

K
Unaongelea dunia ya leo au ya babu zetu ukitaka kuoa na 27 utafute kabinti ka 17yrs kama mke? Kwenye maisha huwezi pata vyote chagua ambavyo ni major factors hizo minor chukulia tu kama changamoto ambazo kila binadamu anazo
Kwa kawaida mwanaume mwenye akili timamu huoa akiwa na 30 yrs and above, chini ya hapo atakuwa amechochewa tu na hisia za ngono na hawa ndo huwa baba wa hovyo sababu ya tabia za ujana.

Hata mwanamke kuolewa chini ya miaka 25 ni msukumo tu wa sex. Na huyo hawezi kuwa MKE mwenye akili timamu za kimaendeleo sababu bado anakuwa na elements za utoto.
 
Kama umeonga kwer hili jambo linaukwer pia
 


Upo sahihi kabisa mkuu, chini ya miaka hiyo hata maana ya maisha na familia ni nini bado tunakua hatujajua vilivyo.


1.Kwa kawaida mwanaume mwenye akili timamu huoa akiwa na 30 yrs and above
Hata mwanamke kuolewa chini ya miaka 25 ni msukumo tu wa sex.
 
Hapo kwa mwanamke mwingine ataona kama unamlinganisha na wengine na mtaishia kugombana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…