Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Mtu mzima mbona unakua na mambo ya kitoto Mkuu nlifkiri ni kijana mwenye 20'S39 mkuu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mzima mbona unakua na mambo ya kitoto Mkuu nlifkiri ni kijana mwenye 20'S39 mkuu,
😂😂😂Uko na hatari ww😄, hapana mkuu, nataka nimrembe mke wangu, sema yeye hana Habari kuhusu masuala ya kujipodoa.
Kwa kawaida mwanaume mwenye akili timamu huoa akiwa na 30 yrs and above, chini ya hapo atakuwa amechochewa tu na hisia za ngono na hawa ndo huwa baba wa hovyo sababu ya tabia za ujana.Unaongelea dunia ya leo au ya babu zetu ukitaka kuoa na 27 utafute kabinti ka 17yrs kama mke? Kwenye maisha huwezi pata vyote chagua ambavyo ni major factors hizo minor chukulia tu kama changamoto ambazo kila binadamu anazo
Nna jicho la kuona mbali awezi nenepeana maana kuna kunenepa na kunenepeana.Akinenepa baadae utafanyaje?
Umri sina shaka nao waacheni watoto waje kwangu 😅😋😋, Zingatia na umri mkuu,
Kama umeonga kwer hili jambo linaukwer piaK
Kwa kawaida mwanaume mwenye akili timamu huoa akiwa na 30 yrs and above, chini ya hapo atakuwa amechochewa tu na hisia za ngono na hawa ndo huwa baba wa hovyo sababu ya tabia za ujana.
Hata mwanamke kuolewa chini ya miaka 25 ni msukumo tu wa sex. Na huyo hawezi kuwa MKE mwenye akili timamu za kimaendeleo sababu bado anakuwa na elements za utoto.
NAKAZIAkataa ndoa
Unakwepa majukumu tuNAKAZIA
K
Kwa kawaida mwanaume mwenye akili timamu huoa akiwa na 30 yrs and above, chini ya hapo atakuwa amechochewa tu na hisia za ngono na hawa ndo huwa baba wa hovyo sababu ya tabia za ujana.
Hata mwanamke kuolewa chini ya miaka 25 ni msukumo tu wa sex. Na huyo hawezi kuwa MKE mwenye akili timamu za kimaendeleo sababu bado anakuwa na elements za utoto.
1.Kwa kawaida mwanaume mwenye akili timamu huoa akiwa na 30 yrs and above
Hata mwanamke kuolewa chini ya miaka 25 ni msukumo tu wa sex.
Hapo kwa mwanamke mwingine ataona kama unamlinganisha na wengine na mtaishia kugombana tuAhhahaha hiyo kawaida sana kwa wadada hapo focus imehama k2a watoto sio muonekano wala baba yao......kuna njia nyingi kumrudisha mstari kwanza ongea nae.....control mavazi yake.....jipende wewe zaidi....anza kuwa karibu na warembo....umuonyeshe wadada ofisini kwenu hata wake rafiki zako.....