Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Mwanamke akiwa mnene huwa anazeeka haraka sana yani akiwa na miaka 20 anaonekana kama mwanaume mwenye miaka 35 akigonga miaka 30 anaonekana kama mwanaume mwenye 45

Angalau akiwa mwembamba na akapata matunzo mazuri umri unavyoenda huwa ndo anazidi kupendeza, ila mnene anavyopata matunzo mazuri mwili ndo unazidi kuchoka atapendeza kwa mavazi tu
 
Correct kabisa mkuu, point kubwa ni kuoa kwa kuachana miaka 10, ili hata aje kukua gafla bado ataonekana mdogo au mtalingana. Hiyo itapendeza zaidi. Ila hii ya kuoana miaka ikiwa sawa inaleta tatizo kidogo.
 
Itakuwa huko kwao wanamwambia mbona mkeo ananenepa sana halafu wewe unakonda mkeo anakunyonya,ndugu niwachochezi ukute yeye aliachika sasa ndugu yake au mwanaye wanapendana na mkewe wanaanza wivu
 
Kuna mkaka alioa mke anayemzidi miaka zaidi ya 20, sahizi wakiongozana utazani mtu na shangazi yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]kawa mnene huyo, nikiongozana anapewa shikamoo mie naambiwa habari za sahizi!
 
Mwanamke service.
Aina ya vyakula..vinywaji na mazoezi
 
Mmeanza kutunyanyasa vibonge😂😂
 
Mtu mzima mbona unakua na mambo ya kitoto Mkuu nlifkiri ni kijana mwenye 20'S
Daaah usimshangae kuna jamaa na yeye kitaa ana changamoto hii,mpk kuongozana na wife anaona aibu,mke mnene na anaonekana mkubwa kama shishi,jamaa mdogo mdogo kwa umbo

Wakiongozana kama huwajui utasema ni Dada na mdogo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…