Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Correct kabisa mkuu, point kubwa ni kuoa kwa kuachana miaka 10, ili hata aje kukua gafla bado ataonekana mdogo au mtalingana. Hiyo itapendeza zaidi. Ila hii ya kuoana miaka ikiwa sawa inaleta tatizo kidogo.Mwanamke akiwa mnene huwa anazeeka haraka sana yani akiwa na miaka 20 anaonekana kama mwanaume mwenye miaka 35 akigonga miaka 30 anaonekana kama mwanaume mwenye 45
Angalau akiwa mwembamba na akapata matunzo mazuri umri unavyoenda huwa ndo anazidi kupendeza, ila mnene anavyopata matunzo mazuri mwili ndo unazidi kuchoka atapendeza kwa mavazi tu
Nafikiri bira kumekucha ndio😄, mkuu huwa tunafanyaje kwa shemeji? Au bora kumekucha atajua mwenyewe.
NakaziaCorrect kabisa mkuu, point kubwa ni kuoa kwa kuachana miaka 10, ili hata aje kukua gafla bado ataonekana mdogo au mtalingana. Hiyo itapendeza zaidi. Ila hii ya kuoana miaka ikiwa sawa inaleta tatizo kidogo.
Naupa upepo pesa ukasuke chief 🤣😎, mpe hela akasuke nywele, akajipodoe fresh,
kupanga ni kuchagua komaa na mzigo wakoYeah ni kibonge, alafu anazidi kunenepa tu.
Duh hiii kwer ni maajabu🤓kupanga ni kuchagua komaa na mzigo wako
Itakuwa huko kwao wanamwambia mbona mkeo ananenepa sana halafu wewe unakonda mkeo anakunyonya,ndugu niwachochezi ukute yeye aliachika sasa ndugu yake au mwanaye wanapendana na mkewe wanaanza wivuSijui kwann mimi sinaga hii mitizamo. Miminyf akonde labda ndio nitashtuka. Akininenepa au kufumuka hata sioni tabu. Acha tu aishi anavyotaka maisha haya sio kilankitu cha kukijali muda woote uko makini kama nurse wa zam shift ya usiku..Mwache ajiachie..avae anavyotka ale anavyotaka afanye anavyotaka.. kuna muda maisha hayakupi hii option.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa anazungumzia mke, tangu azae, amekua bibi gafla.
Kuna mkaka alioa mke anayemzidi miaka zaidi ya 20, sahizi wakiongozana utazani mtu na shangazi yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]kawa mnene huyo, nikiongozana anapewa shikamoo mie naambiwa habari za sahizi!Ahahahah... what is wrong with the age??? Mimi sijawah kuona shida hata.
Yf mimi alinipiga kamba wakat tunaanza relationship 2010 kuwa na yeye pia kazaliwa 1989 kumbe baadae nikaja kugundua kazaliwa mwaka 1988. [emoji23][emoji23].
Bas unafikiri hata kuna shida naionaga kuhusu umri!? Walaaah!!. Age is just a number bwana. Tunaishi tu hata hatusumbuki na minor issues kama hizo. Kanizalia watoto wa4 na bado namuona yuko fiti tu
Mwanamke service.Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝,
• Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza.
• Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana kuzeeka zaidi ya umri huo, ndicho sikielewi.
• Nimeona wanawake na marafiki wa umri wake bado wanavyoendelea kuwa wabunifu na kufuata mtindo wa mitindo ya maisha, lakini mke wangu hafanyi bidii tena kuchukulia mitindo kwa uzito.
• Anavaa nguo yoyote ile, bila kujali tukio. Huenda hamtanielewa kuhusu hili, kwa sababu zamani alikuwa anazingatia haya kabla hatujapata mtoto wetu wa kwanza. Labda tuseme maisha magumu, sikweli, hapitii kwenye mazingira magumu, maisha yetu ni ya kutosha namlisha vizuri kila siku.
• Hivi ni nini kinachoendelea??
• Wanaume mliooa, mnahisi hivi pia kama ninavyohisi mimi?, Namaanisha wale waliooa kwa miaka 5-10 na zaidi.
........ Hadithi ya kijana aliyefunga ndoa miaka 11 iliyopita." 😎.
Mmeanza kutunyanyasa vibonge😂😂Mwanamke akiwa mnene huwa anazeeka haraka sana yani akiwa na miaka 20 anaonekana kama mwanaume mwenye miaka 35 akigonga miaka 30 anaonekana kama mwanaume mwenye 45
Angalau akiwa mwembamba na akapata matunzo mazuri umri unavyoenda huwa ndo anazidi kupendeza, ila mnene anavyopata matunzo mazuri mwili ndo unazidi kuchoka atapendeza kwa mavazi tu
Daaah usimshangae kuna jamaa na yeye kitaa ana changamoto hii,mpk kuongozana na wife anaona aibu,mke mnene na anaonekana mkubwa kama shishi,jamaa mdogo mdogo kwa umboMtu mzima mbona unakua na mambo ya kitoto Mkuu nlifkiri ni kijana mwenye 20'S
Hadi ashituke sio?...jipende wewe zaidi....anza kuwa karibu na warembo....