Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Kwa kweli mazoezi yanahitajika mapema sana, kila siku asubuhi niaze kumkimbiza kilometers kadhaa.
Uwe unamtoa out ila hakikisha kwanza unampitisha gym mpigishe tizi haswa alafu mpeleke mahali ale maisha. tofauti na hapo hawa wake zetu mazoezi hawataki.

Yani mjengee mazoea ya kumtoa out ila ajue kabisa unampitisha gym alafu ndiyo viwanjani kuserebuka akifikia unavyotaka unaanza kupunguza
 
Ampitishe gym hadi azoee kwenda gym peke ake afu ata kuja na thread nyingine ya kilio
 
Yani mjengee mazoea ya kumtoa out ila ajue kabisa unampitisha gym alafu ndiyo viwanjani kuserebuka akifikia unavyotaka unaanza kupunguza

Ushauri mzuri kabisa mkuu, kwa afya zaidi, mazoezi ni muhimu sana.
 
Nimejisikia vibaya maana hata mi napitia hali kama hii,jamani wanaume mjitahidi kutupa moyo tu, sio kwamba tunapenda, unakuta mwili unafumuka tu.
Pole mkuu πŸ˜‹, kuazia tarehe 1/1/2024, vibonge wote ni kufanya mazoezi kwenda mbele.
 
Kuna namna tu uzi ungefungiwa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…