Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Kwa kweli mazoezi yanahitajika mapema sana, kila siku asubuhi niaze kumkimbiza kilometers kadhaa.
Uwe unamtoa out ila hakikisha kwanza unampitisha gym mpigishe tizi haswa alafu mpeleke mahali ale maisha. tofauti na hapo hawa wake zetu mazoezi hawataki.

Yani mjengee mazoea ya kumtoa out ila ajue kabisa unampitisha gym alafu ndiyo viwanjani kuserebuka akifikia unavyotaka unaanza kupunguza
 
Ampitishe gym hadi azoee kwenda gym peke ake afu ata kuja na thread nyingine ya kilio
 
Uwe unamtoa out ila hakikisha kwanza unampitisha gym mpigishe tizi haswa alafu mpeleke mahali ale maisha. tofauti na hapo hawa wake zetu mazoezi hawataki.

Yani mjengee mazoea ya kumtoa out ila ajue kabisa unampitisha gym alafu ndiyo viwanjani kuserebuka akifikia unavyotaka unaanza kupunguza
Yani mjengee mazoea ya kumtoa out ila ajue kabisa unampitisha gym alafu ndiyo viwanjani kuserebuka akifikia unavyotaka unaanza kupunguza

Ushauri mzuri kabisa mkuu, kwa afya zaidi, mazoezi ni muhimu sana.
 
Screenshot_20231226-155132_Instagram.jpg
 
Tunzeni wake zenu wapendeze, ushamlaza kifua kimekuwa kama ndala za gesti halafu unasema kazeeka.

Mwanamke akishazaa basi mwili unafumuka kwa kasi na kadri anavyoendelea, kama ni mnene angalia avae zile nguo ndefu jamii ya abaya na sio za mtumba, tafuta angalau za bei mbaya zinapendeza kwa wanawake angalau 150k .

Manukato safi hata afike 50 utamuona kawaida ila kama humtunzi na hali za umaskini lazima awe kikongwe.
Kuna namna tu uzi ungefungiwa hapa
 
Back
Top Bottom