Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Tengeneza urafiki na mkeo kiasi cha kuambiana huwezi kufanya lolote kutoka mtandaoni kama mnaogopana kuambiana vitu kama hivi. Kwanza muwe marafiki. Tatizo naona sio uzee uzee ni miaka 60 tatizo lenu ni utoto hasa kwako
 
Tatizo naona sio uzee uzee ni miaka 60 tatizo lenu ni utoto hasa kwako
β€’ πŸ€”πŸ€” Unajua nini mkuu, nilihisi nikimuambia direct anaweza chukia,

β€’ Nakumbuka kuna siku nilimuamba mke wangu, umenenepa sana kwenye mashavu, nikaona gafla anaaza kukosa amani kabisa, kama vile mtu ambaye hajapendezwa na kile kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…