bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Oa roboti ndio halibadilikiNilioa Mke mkuu 🤔, Sema nataka aludi kwenye ka shape kake kazamani,😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oa roboti ndio halibadilikiNilioa Mke mkuu 🤔, Sema nataka aludi kwenye ka shape kake kazamani,😋
Roboti ndio halibadiliki😀, Kwa nini mkuu,
Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝,
• Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza.
• Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana kuzeeka zaidi ya umri huo, ndicho sikielewi.
• Nimeona wanawake na marafiki wa umri wake bado wanavyoendelea kuwa wabunifu na kufuata mtindo wa mitindo ya maisha, lakini mke wangu hafanyi bidii tena kuchukulia mitindo kwa uzito.
• Anavaa nguo yoyote ile, bila kujali tukio. Huenda hamtanielewa kuhusu hili, kwa sababu zamani alikuwa anazingatia haya kabla hatujapata mtoto wetu wa kwanza. Labda tuseme maisha magumu, sikweli, hapitii kwenye mazingira magumu, maisha yetu ni ya kutosha namlisha vizuri kila siku.
• Hivi ni nini kinachoendelea??
• Wanaume mliooa, mnahisi hivi pia kama ninavyohisi mimi?, Namaanisha wale waliooa kwa miaka 5-10 na zaidi.
........ Hadithi ya kijana aliyefunga ndoa miaka 11 iliyopita." 😎.
Tengeneza urafiki na mkeo kiasi cha kuambiana huwezi kufanya lolote kutoka mtandaoni kama mnaogopana kuambiana vitu kama hivi. Kwanza muwe marafiki. Tatizo naona sio uzee uzee ni miaka 60 tatizo lenu ni utoto hasa kwako
• 🤔🤔 Unajua nini mkuu, nilihisi nikimuambia direct anaweza chukia,Tatizo naona sio uzee uzee ni miaka 60 tatizo lenu ni utoto hasa kwako
Kama ananenepa bila moangilio mkumbushe ni hatari kwa afya...😋😋, Ila inabidi apungue kidogo, maana atavamiwa na maradhi nyemelezi
Kajikataa yaani!mwambie sisi dada zake bado tunapambana sembuse ye na 33 yake!aache kujisahauYeah, hapendi kufanya mazoezi, hapendi kujipodoa, 😒
Nitampata ushauri na Seiko 5 bureee😄😄😄, ujumbe umefika, sema inabidi uje home kabisa, uje umpe saa na ushauri