Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Mwanaume unashauriwa uoe mwanamke unae mzidi umri kwelikweli, siyo chini ya miaka 10 na kuendelea hapo ndo utamuona mdogo wakati wote. Lakini nyie mnapenda difference ya miaka 2/3 mpaka 5. Hapa lazima azeeke kabla yako. Mwanamke anakuwa haraka kuliko mwanaume, so wakati wa kuoa angalia umri wake na mwili wake. Ukichukuwa tipwa tipwa na mimatako mikubwa ujue akizaa mwili wa juu hulingana na matako a.k.a polygon.
 
Ukichukuwa tipwa tipwa na mimatako mikubwa ujue akizaa mwili wa juu hulingana na matako a.k.a polygon.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„, Vijana tumekomaa na wa mlogazila,

Lakini nyie mnapenda difference ya miaka 2/3 mpaka 5. Hapa lazima azeeke kabla yako.
Ni Kweli kabisa mkuu, maana mwanamke anakua haraka sana, na ichangie mwanamume ni mfupiπŸ˜„
 
Mkuu sema tu unakimada nje ambacho kinajipodoa..au lah haumuappreciate mkeo je akipendeza hua unamsifia kapendeza au kukuonesha kua umeshtuka na jinsi alivopendeza au unakua kauzu unajifanya hujaona au kawaida.....pia inaonekana unapenda mwanamke mrembo...bado hujachelewa as long as she is still alive unaweza kumfamya awe unavotaka ..chukulia ivo kama upungufu wake na wewe umrekebishe ......fanya hivi mnunulie zawad mpelekee ...mnunulie chupii nzuri sexy chupi za kiuchokozi..mnunulie cheni nzuri here I na lipstick ambayo inaendana na rang yake....mpelekeee mwambie avivae umuone alivopendeza
 
Mkuu wanawake wengi wa Afrika wana miili minene, kukuta wenye mwili mwembamba ni wachache sana, utakuta binti kabla ya kuolewa au kuzaa anakuwa mwembamba, sasa ngoja apate mtoto tu ataanza kunenepa na Wanawake wanawahi kuridhika sana kwa mambo madogo wakiwa wana uhakika wa kuyapata.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nakubali, but mimi napenda mwanamke mwenye akil inayokwenda mbio ndio maana napenda tunayelingana umri au hata kama amenizid. Mwanamke ukimzid sana akili inakua changamoto, kila kitu akuulize "tunafanyaje??"
 
mwanamke anazeeka akikosa matunzo, akiwa hajipendi yeye mwenyewe au ukute ana majukum mengi,
Muomba ushauri kasema mke wake kabadilika mwili umekuwa mkubwa Yani Kawa Mama, Yani wakitembea pamoja unaweza kusema jamaa yupo na Mama yake mdogo au lishangazi, na uwezi kuhisi kama ni mke na mume au wachumba.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sema tu unakimada nje ambacho kinajipodoa
πŸ˜„, hapana mkuu, kimada kwa mwaume lazima, hata uoe mwanamke mzuri kiasi gani, hatujui kuridhika.

....fanya hivi mnunulie zawad mpelekee mnunulie chupii nzuri, sexy chupi za kiuchokozi..mnunulie cheni nzuri here I na lipstick ambayo inaendana na rang yake...

Mkuu, Hapa kama tunaaza mahusiano upya tena, mi nadhani uvivu wa kujipiga manukato ndo unasumbua.
 
Wewe kama mimi, mimi sipendi wanawake wenye miili mikubwa wanene na penda wanawake wa size ya kati wadogo kimaumbile.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nakubali, but mimi napenda mwanamke mwenye akil inayokwenda mbio ndio maana napenda tunayelingana umri au hata kama amenizid. Mwanamke ukimzid sana akili inakua changamoto, kila kitu akuulize "tunafanyaje??"
Mkuu, usitegemee sana akili ya mwanamke, mwanamke huwaza sana familia yake aliko zaliwa, [ Ndo maana utasikia ukifa sisi tutaishije?]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…