Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ngoja niendelee kutafuta mwembamba kama mshale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume unashauriwa uoe mwanamke unae mzidi umri kwelikweli, siyo chini ya miaka 10 na kuendelea hapo ndo utamuona mdogo wakati wote. Lakini nyie mnapenda difference ya miaka 2/3 mpaka 5. Hapa lazima azeeke kabla yako. Mwanamke anakuwa haraka kuliko mwanaume, so wakati wa kuoa angalia umri wake na mwili wake. Ukichukuwa tipwa tipwa na mimatako mikubwa ujue akizaa mwili wa juu hulingana na matako a.k.a polygon.
😄😄😄, Vijana tumekomaa na wa mlogazila,Ukichukuwa tipwa tipwa na mimatako mikubwa ujue akizaa mwili wa juu hulingana na matako a.k.a polygon.
Ni Kweli kabisa mkuu, maana mwanamke anakua haraka sana, na ichangie mwanamume ni mfupi😄Lakini nyie mnapenda difference ya miaka 2/3 mpaka 5. Hapa lazima azeeke kabla yako.
Akinenepa baadae utafanyaje?Ngoja niendelee kutafuta mwembamba kama mshale
Mkuu wanawake wengi wa Afrika wana miili minene, kukuta wenye mwili mwembamba ni wachache sana, utakuta binti kabla ya kuolewa au kuzaa anakuwa mwembamba, sasa ngoja apate mtoto tu ataanza kunenepa na Wanawake wanawahi kuridhika sana kwa mambo madogo wakiwa wana uhakika wa kuyapata.Ahahahah... what is wrong with the age??? Mimi sijawah kuona shida hata.
Yf mimi alinipiga kamba wakat tunaanza relationship 2010 kuwa na yeye pia kazaliwa 1989 kumbe baadae nikaja kugundua kazaliwa mwaka 1988. [emoji23][emoji23].
Bas unafikiri hata kuna shida naionaga kuhusu umri!? Walaaah!!. Age is just a number bwana. Tunaishi tu hata hatusumbuki na minor issues kama hizo. Kanizalia watoto wa4 na bado namuona yuko fiti tu
Kweli ndiyo maana wazaz wetu wakiume wamewazidi miaka kuanzia kumi Mama zetu.Safi sana mkuu, pia hii ya kuoana miaka ikiwa sawa naona kuna changamoto yake.... Mwanamke akisha zaa tu.. Mwanamke anaaza Kuonekana Mkubwa
Nakubali, but mimi napenda mwanamke mwenye akil inayokwenda mbio ndio maana napenda tunayelingana umri au hata kama amenizid. Mwanamke ukimzid sana akili inakua changamoto, kila kitu akuulize "tunafanyaje??"Mkuu wanawake wengi wa Afrika wana miili minene, kukuta wenye mwili mwembamba ni wachache sana, utakuta binti kabla ya kuolewa au kuzaa anakuwa mwembamba, sasa ngoja apate mtoto tu ataanza kunenepa na Wanawake wanawahi kuridhika sana kwa mambo madogo wakiwa wana uhakika wa kuyapata.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Muomba ushauri kasema mke wake kabadilika mwili umekuwa mkubwa Yani Kawa Mama, Yani wakitembea pamoja unaweza kusema jamaa yupo na Mama yake mdogo au lishangazi, na uwezi kuhisi kama ni mke na mume au wachumba.mwanamke anazeeka akikosa matunzo, akiwa hajipendi yeye mwenyewe au ukute ana majukum mengi,
Mkuu sema tu unakimada nje ambacho kinajipodoa..au lah haumuappreciate mkeo je akipendeza hua unamsifia kapendeza au kukuonesha kua umeshtuka na jinsi alivopendeza au unakua kauzu unajifanya hujaona au kawaida.....pia inaonekana unapenda mwanamke mrembo...bado hujachelewa as long as she is still alive unaweza kumfamya awe unavotaka ..chukulia ivo kama upungufu wake na wewe umrekebishe ......fanya hivi mnunulie zawad mpelekee ...mnunulie chupii nzuri sexy chupi za kiuchokozi..mnunulie cheni nzuri here I na lipstick ambayo inaendana na rang yake....mpelekeee mwambie avivae umuone alivopendeza
😄, hapana mkuu, kimada kwa mwaume lazima, hata uoe mwanamke mzuri kiasi gani, hatujui kuridhika.Mkuu sema tu unakimada nje ambacho kinajipodoa
....fanya hivi mnunulie zawad mpelekee mnunulie chupii nzuri, sexy chupi za kiuchokozi..mnunulie cheni nzuri here I na lipstick ambayo inaendana na rang yake...
Mwanamke kaona hana mshindani yupo mwenyewe.Yah..ukiona mwanamke ameacha kujipenda ghafla ujue kuna sababu
Wewe kama mimi, mimi sipendi wanawake wenye miili mikubwa wanene na penda wanawake wa size ya kati wadogo kimaumbile.Karidhka uyoo me wangu alipo pata mimba ali nenepa sanaa afu me sio mpenzi wa woman wanene au wenye matako makubwa saaana ..
nka subiri ajifungue naona still mtu karidhika na ana jua vitu napenda .kilicho fata ni kupiga matukio kama mawili hadi saiv karudi kama mwanzo ki portable
Amen 🙏 🙏Heshima kwako mzee wa JF, nina imani hapa jukwaani ndo mwenye umri mkubwa.
Mkuu, usitegemee sana akili ya mwanamke, mwanamke huwaza sana familia yake aliko zaliwa, [ Ndo maana utasikia ukifa sisi tutaishije?]Nakubali, but mimi napenda mwanamke mwenye akil inayokwenda mbio ndio maana napenda tunayelingana umri au hata kama amenizid. Mwanamke ukimzid sana akili inakua changamoto, kila kitu akuulize "tunafanyaje??"
Kabisa mkuu, Na maisha ya siku hizi watu wanakua haraka sana, [ hasa wanawake],Kweli ndiyo maana wazaz wetu wakiume wamewazidi miaka kuanzia kumi Mama zetu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Siitegemei ila angalau uwe na mtu ambaye anaweza aka deal na baadhi ya issues yeye mwenyewe.Mkuu, usitegemee sana akili ya mwanamke, mwanamke huwaza sana familia yake aliko zaliwa, [ Ndo maana utasikia ukifa sisi tutaishije?]