Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu,

Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother.

Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.?

Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo maneno na hata ukitamkiwa hauamini kuwa anamaanisha?

Aisee! Kweli mlioa Single Mother mna mioyo Migumu kulalaleki.
 
Banae nimetoka kupokea muamala Muda huu kutoka Kwa single Maza..[emoji23][emoji23][emoji23]

Huko Malipo mnapokea miamala na kuwekwa kwenye mabilboard kama alivyofanya Zamaradi?..

Yani hata ukimsema vipi huyo uliyemzalisha hatumuachi ng'oo wahumi twala mpaka maini na bado ukizubaa mtoto unaweza usimpate vilevile..[emoji23][emoji23][emoji23]🦥🦥🦥
 
Kwa hiyo unalea bao la mwanamume mwenzako?
Ana watoto wawili wananiheshimu sana kama baba Yao nami kanizalia mabinti wawili huwa nafarijika sana nikiwaona wakiwa na furaha muda wote huku wakicheza na kufurahi Kwa pamoja, kiufupi najivunia kuwa baba mlezi na baba wa familia nzima hayo mengine Baki nayo wewe
 
[emoji120]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu,

Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother.

Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.?

Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo maneno na hata ukitamkiwa hauamini kuwa anamaanisha?

Aisee! Kweli mlioa Single Mother mna mioyo Migumu kulalaleki.
Mkuu sasa unaonaje wivu mama kumwita mwanae maneno mazuri. Kawaida tu maana bila shaka mama anampenda mwanae kuliko wewe.
 
Back
Top Bottom