Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Mm naishi na single mother, binti mrembo sana kutoka tanga, amenizalia mabinti wawili warembo kama yeye anajiheshimu sana na anaheshimu wengine pia sipati changamoto yyte kutoka kwake maana mume wake alifariki.
Mume akifariki mke anakua single mother au mjane?

Au ni kwamba waliachana kabla ya mume kufariki?

Haya mambo yanachanganya
 
Mm naishi na single mother, binti mrembo sana kutoka tanga, amenizalia mabinti wawili warembo kama yeye anajiheshimu sana na anaheshimu wengine pia sipati changamoto yyte kutoka kwake maana mume wake alifariki.
Ulionyeshwa kaburi na cheti cha kifo cha mumewe?

Siku isiyo na jina usije shangaa kidume anakuja from no where kumchukua mtoto wake na wewe unadhani alikufa.
 
Kwanza mi siamini katika kupost mtu awe ananipost eti na kusindikiza na maneno mazuri naona miyeyusho tu .

Upendo haupo kwenye kuwekeana kwa social media. Ushaamua kubwa nae mapungufu yake yaweze tu
Siamini hivyo ila wanawake wengi kupost ni kawaida yao hasa watoto wao. Shida inaanza mtu unajua fika huyu mwanamke tayari ana mtoto na unaoa alafu unategemea asifanye aliyozoea kufanya.
 
Sawa baba wa kambo pambaneni kulea mabao ya wanaume wenzenu
Wewe uliyenae ulimkuta bikra mkuu?.. au Ni Mama WA marehemu mbalimbali[emoji23][emoji23][emoji23]

Faida ya Kwanza ya single Maza anakupa assurance kwamba anaweza kuzaa.. sio Hao wenu unaweka ndani alafu unanza kuzunguka Kwa Mwamposa kutafuta mtoto..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa baba wa kambo pambaneni kulea mabao ya wanaume wenzenu
Yaani wewe kukimbia watoto hilo halituhusu sababu mwanaume akimbii mtoto anapambana mwanzo mwisho hata kama ni kwa kufanya vibarua 🤣🤣🤣
Tulia usaidiwe na wanaume mvulana kaa pembeni mishindo ya watu wanaume huiwezi. Unafikiri mapenzi ni kumpandia juu tu🤣🤣
 
Back
Top Bottom