Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Ana watoto wawili wananiheshimu sana kama baba Yao nami kanizalia mabinti wawili huwa nafarijika sana nikiwaona wakiwa na furaha muda wote huku wakicheza na kufurahi Kwa pamoja, kiufupi najivunia kuwa baba mlezi na baba wa familia nzima hayo mengine Baki nayo wewe
Duh hongera
 
Habari zenu,

Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother.

Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.?

Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo maneno na hata ukitamkiwa hauamini kuwa anamaanisha?

Aisee! Kweli mlioa Single Mother mna mioyo Migumu kulalaleki.

Hakuna shida
 
Ana watoto wawili wananiheshimu sana kama baba Yao nami kanizalia mabinti wawili huwa nafarijika sana nikiwaona wakiwa na furaha muda wote huku wakicheza na kufurahi Kwa pamoja, kiufupi najivunia kuwa baba mlezi na baba wa familia nzima hayo mengine Baki nayo wewe
Kakuzalia hao mabinti wawili ili acheze na akili zako uumtumzie hao watoto wawili wasio wako
 
Umeshaamua kuoa huna budi kukubaliana na hayo, hiyo ni moja ya upendo japo si lazima kumpost.

Mambo mengine hata hayana msingi kwahyo asimpende mwanae kisa sio wako?
Kwanza mi siamini katika kupost mtu awe ananipost eti na kusindikiza na maneno mazuri naona miyeyusho tu .

Upendo haupo kwenye kuwekeana kwa social media. Ushaamua kubwa nae mapungufu yake yaweze tu
 
Back
Top Bottom