Hapana sio kweli, tatizo sio single mother ila single mother ambaye baba wa mtoto/ watoto yupo hai, hakuna rangi utaacha kuiona.Mwanamume anayeoa single maza ni mjinga sana
Single maza sio wa kufanya nao maisha kabisa hata baba wa mtoto awe amekufa na kaburi amekuonyeshaHapana sio kweli, tatizo sio single mother ila single mother ambaye baba wa mtoto/ watoto yupo hai, hakuna rangi utaacha kuiona.
Banae nimetoka kupokea muamala Muda huu kutoka Kwa single Maza..[emoji23][emoji23][emoji23]Habari zenu,
Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother.
Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.?
Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo maneno na hata ukitamkiwa hauamini kuwa anamaanisha?
Aisee! Kweli mlioa Single Mother mna mioyo Migumu kulalaleki.
Mm naishi na single mother, binti mrembo sana kutoka tanga, amenizalia mabinti wawili warembo sana kama yeye anajiheshimu sana na anaheshimu wengine pia sipati changamoto yyte kutoka kwake maana mume wake alifariki.Singo maza sio wa kufanya nao maisha kabisa
Kwa hiyo unalea bao la mwanamume mwenzako?Mm naishi na single mother, binti mrembo sana kutoka tanga, anajiheshimu na anaheshimu wengine pia sipati changamoto yyte kutoka kwake maana mume wake alifariki.
Haha! amefanywa mlezi wa mtoto asiye wake. Huyo mwanamke anamwigizia tu ili atunziwe mtoto wake. Kazidiwa maarifa na mwanamkeHahaha! Anaamini kuwa anapendwa, na wakati yeye ni mbadala wa kusaidia kulea mtoto.
Ana watoto wawili wananiheshimu sana kama baba Yao nami kanizalia mabinti wawili huwa nafarijika sana nikiwaona wakiwa na furaha muda wote huku wakicheza na kufurahi Kwa pamoja, kiufupi najivunia kuwa baba mlezi na baba wa familia nzima hayo mengine Baki nayo weweKwa hiyo unalea bao la mwanamume mwenzako?
Jipe moyoooooo utayashinda😂😂😂 mzimu wa mumewe bado unajipigia usiku kila sikuMm naishi na single mother, binti mrembo sana kutoka tanga, amenizalia mabinti wawili warembo kama yeye anajiheshimu sana na anaheshimu wengine pia sipati changamoto yyte kutoka kwake maana mume wake alifariki.
Sijaoa kabisa, mpaka naoa huyo singo maza tayari najua yajayoMkuu umeoa Single Mother?
[emoji120]Ana watoto wawili wananiheshimu sana kama baba Yao nami kanizalia mabinti wawili huwa nafarijika sana nikiwaona wakiwa na furaha muda wote huku wakicheza na kufurahi Kwa pamoja, kiufupi najivunia kuwa baba mlezi na baba wa familia nzima hayo mengine Baki nayo wewe
Kama tatizo ni kujipigia inawezekana hata ww ukajidai umeoa mwanamke ambaye sio single mother na wahuni mtaani wakawa wanajipigia pia.Jipe moyoooooo utayashinda😂😂😂 mzimu wa mumewe bado unajipigia usiku kila siku
Mkuu sasa unaonaje wivu mama kumwita mwanae maneno mazuri. Kawaida tu maana bila shaka mama anampenda mwanae kuliko wewe.Habari zenu,
Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother.
Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.?
Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo maneno na hata ukitamkiwa hauamini kuwa anamaanisha?
Aisee! Kweli mlioa Single Mother mna mioyo Migumu kulalaleki.