Unajisikiaje ukiandika mada mzuri na yenye maana lakini ukakosa replies.?

hizi kazi Ni very temporary.hata waSipo rike thread yako wewe mtangurize Mungu mbere.na saa Nyingine wakina zero IQ wanapata replies Mia wakati wewe hata kumi hujafikisha.si nafuu hata hio maada ingefutwa I wish I could be a MOD.ndio maana naombeni mniombee nitoe maada zinazopata like nyingi.wana Jf mnafanya kazi nzuri sana
 
🙄😀😀😀😀 nahisi hauko sawa
 

[emoji23][emoji23]mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…