Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Hahahahah jaman akisema unitag
kwani katoto kazuri anasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani katoto kazuri anasemaje?
Jibu lake ni rahisi tu mkuu, ni kwamba eidha watu wameuona huo uzi kuwa ulichokiandika ni hali halisi na hauhitaji mjadala, au hawajakuelewa ulichoandika na hivyo wanashindwa kuchangia, au wanastress nyingi sana za maisha so wanataka mada za kuwapunguzia stress.
Wengine wataongezea,
Nahisi wapo ndioHivi humu kuna famous member?
kuna uzi zangu nyingi tuu nazo zilikosa replies na likes nkawaomba mods wazifute, nkapigwa ban ya mwezi.
Mimi huwa naangalia waliotizama sasa nikikuta ni zaidi ya 1K najua nlichokusudia kimewafikia michango sio muhimu
Kwaio mnatafuta likes jf?
Nahisi wapo ndio
Wanakua Kama ww tu na sifa za mada tulizo zisema kwenye hii thread....Wanakuwaje maarufu jaman na mm nataka
Wanakua Kama ww tu na sifa za mada tulizo zisema kwenye hii thread....
Mfano Hai tazama mada zako serious na zile zisizo za serious ambazo wewe Kama mdada umetoa humu pia angalia za mkaka piaNifafanulie vizuri basi alafu nipe na mfano haiii
Mfano Hai tazama mada zako serious na zile zisizo za serious ambazo wewe Kama mdada umetoa humu pia angalia za mkaka pia
Wengine ndio hatujui kabisaHahahhaha hapa Jf unatakiwa ucheze na hadhiraa tu wanataka nn kwa wakat huu
Wengine ndio hatujui kabisa
Ni mawazo yangu tu mkuu!Kumbeee
Ni mawazo yangu tu mkuu!
Kweli kipaji aisee, hongera zenuKipaji
Wala sikujali mkuu,nilijua tu hili jiwe ni heavy weight. Nyuzi ngumu au nzito/zenye ukweli hazichangiwi...ni kawaida tu.Hahahhaha pole sana