Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄😀😀😀😀 nahisi hauko sawahizi kazi Ni very temporary.hata waSipo like thread yako wewe mtangulize Mungu mbere.na saa Nyingine wakina zero IQ wanapata replies Mia wakati wewe hata kumi hujafikisha.si nafuu hata hio maada ingefutwa I wish I could be a MOD.ndio maana naombeni mniombee nitoe maada zinazopata like nyingi.wana Jf mnafanya kazi nzuri sana
hizi kazi Ni very temporary.hata waSipo rike thread yako wewe mtangurize Mungu mbere.na saa Nyingine wakina zero IQ wanapata replies Mia wakati wewe hata kumi hujafikisha.si nafuu hata hio maada ingefutwa I wish I could be a MOD.ndio maana naombeni mniombee nitoe maada zinazopata like nyingi.wana Jf mnafanya kazi nzuri sana
Mbaya zaidi ni kuona mada za umbea, kuongeza nguvu za kiume, papuchi n.k zikipata replies kwa kasi ya moto wa kifuu.
Aiseeeee.Kujitegemea wenyewe na kufanya jitihada kwa ushupavu dhidi ya wapinga maendeleo bila kusababisha taharuki miongoni mwa wengine / umma
Nimeona na mimi niandike kidogo juu ya mambo ya kutimia nguvu na utekaji wa watu mashuhuri na wanasiasa aidha wanaopinga moja kwa moja jitihada za kimapinduzi ya uchumi au wale wanaohisiwa kutokana na intelijinsia ya vyombo vyetu. Naandika hivi ili tujue au tutambue chanzo cha haya yote ni...www.jamiiforums.com
Ndio ilivyo mkuu, wanachangia kwa kufahamiana na Umaarufu hawaangalii point na hapa tuna mwendo wa li elfu kumi kupata maendeleo ya kweli...Aiseeeee.
Salamu imefika mkuuNdege John na Zero IQ nawasalim....
Mbaya zaidi ni kuona mada za umbea, kuongeza nguvu za kiume, papuchi n.k zikipata replies kwa kasi ya moto wa kifuu.