Unajisikiaje ukiandika mada mzuri na yenye maana lakini ukakosa replies.?

Mbaya zaidi ni kuona mada za umbea, kuongeza nguvu za kiume, papuchi n.k zikipata replies kwa kasi ya moto wa kifuu.
Ufahamu mkuu. Tunapenda vitu rahisi au vya kimbeambea. Juzi niliandika mada kuhusu kukithiri kwa bhange nikapata wachangiaji 10 sijui na walitoa shombo hatari. Jana taifa limetangazwa kuwa kinara wa bhange EA.!!
 
Jibu lake ni rahisi tu mkuu, ni kwamba eidha watu wameuona huo uzi kuwa ulichokiandika ni hali halisi na hauhitaji mjadala, au hawajakuelewa ulichoandika na hivyo wanashindwa kuchangia, au wanastress nyingi sana za maisha so wanataka mada za kuwapunguzia stress.
Wengine wataongezea,
 
kuna uzi zangu nyingi tuu nazo zilikosa replies na likes nkawaomba mods wazifute, nkapigwa ban ya mwezi.
 
Mjini kama huna connection ni tabu jf nako kama huna connection nako kumesha kuwa tabu...

Sisi Watanzania tunapenda sana vitu laini hatupendi tena vitu vya kuumiza kichwa..
 
Hivi replies kuna pesa unalipwa au??
Ani mtu aki reply kwenye uzi wako unafaidika nn??
Me maybe uzi uwe kuna shida au swali nahitaji ufumbuzi sawa ila uzi tu wa kijinga watu hawaja reply fresh

Ila niandike uzi wapi wanauza p2 msi reply huyo mtoto nitawaletea mlee nyambafu
 
Cha msingi angalia views, inaonyesha kuwa mada imesomwa na watu kiasi gani.

Kuna wakati mtu anaandika mada inayogusa unasoma unashindwa hata cha kuandika unaona kama utaharibu.

Alafu sasa mada serious huwa hazipati comments nyingi, hii inaonyesha kuwa wengi humu tunaingia kurefresh zaidi na kujifunza kidogo.
 
Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

huu uzi ulinipa uhalisia wa jamii yangu kwa jinsi ambayo nilivyo, sikuwa nakubaliana nayo lakini kwa huo uzi ukweli haufichiki kiasi mpaka sasa najaribu kutofautisha faida za mambo yenye umuhimu na yale ya burdani .
 
Hahahhaha pole sana
Ufahamu mkuu. Tunapenda vitu rahisi au vya kimbeambea. Juzi niliandika mada kuhusu kukithiri kwa bhange nikapata wachangiaji 10 sijui na walitoa shombo hatari. Jana taifa limetangazwa kuwa kinara wa bhange EA.!!
 
Hivi humu kuna famous member?
Haya mambo ndio yanaingia hadi kwenye mifumo ya serikali....

Huu uzi nao umekosa wachangiaji ila ingekuwa issue za vibamia au kaandika famous fasta reply 1k alafu reply zenyewe ni nonsense tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…