Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah, nadhani huu ndio ukweli, mpaka uwe "maarufu" humu au ujulikane na wengi aka connectionsNdio ilivyo mkuu, wanachangia kwa kufahamiana na Umaarufu hawaangalii point na hapa tuna mwendo wa li elfu kumi kupata maendeleo ya kweli...
Ufahamu mkuu. Tunapenda vitu rahisi au vya kimbeambea. Juzi niliandika mada kuhusu kukithiri kwa bhange nikapata wachangiaji 10 sijui na walitoa shombo hatari. Jana taifa limetangazwa kuwa kinara wa bhange EA.!!Mbaya zaidi ni kuona mada za umbea, kuongeza nguvu za kiume, papuchi n.k zikipata replies kwa kasi ya moto wa kifuu.
Yah, nadhani huu ndio ukweli, mpaka uwe "maarufu" humu au ujulikane na wengi aka connections
Lets meet at the top!Ukiweza kuzisoma akili za watu humu..hawatakupa shida.
Wanapenda mada za umbea na mapenzi kuliko mada zenye kujenga.over!
Yah, nadhani huu ndio ukweli, mpaka uwe "maarufu" humu au ujulikane na wengi aka connections
Ufahamu mkuu. Tunapenda vitu rahisi au vya kimbeambea. Juzi niliandika mada kuhusu kukithiri kwa bhange nikapata wachangiaji 10 sijui na walitoa shombo hatari. Jana taifa limetangazwa kuwa kinara wa bhange EA.!!
Haya mambo ndio yanaingia hadi kwenye mifumo ya serikali....
Huu uzi nao umekosa wachangiaji ila ingekuwa issue za vibamia au kaandika famous fasta reply 1k alafu reply zenyewe ni nonsense tu.