Unajisikiaje ukiandika mada mzuri na yenye maana lakini ukakosa replies.?

Kumbeee
 
jf itaendelea kuwepo kwa mamia ya miaka inayokuja hivyo hata usipopata replies wakati huu utapata wakati mwingine
 
Hahahhaha hapa Jf unatakiwa ucheze na hadhiraa tu wanataka nn kwa wakat huu
Mfano Hai tazama mada zako serious na zile zisizo za serious ambazo wewe Kama mdada umetoa humu pia angalia za mkaka pia
 
Watu kweli tuko tofauti sana;

Mimi hapo navimba bichwa kwelikweli, najiona nina akili sana hakuna wa kuni challenge kati ya viewers million 54, while no replies. yaani naona niko above them all.

naweza nikagombea hata u rais, na hii naifanya hata mtaani watu hawawezi kunibishia. mimi nikisema baaasi.

But nikichangia majukwaa ya Ulaya, na USA, weee challenges za huko, mpaka unaona umejinyea. so ukiona hivo siyo watu wa size yako ni mapoyoyo. downier
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…