Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

Kumbe ye34nbe hiyo ndo ntoke vipi yake ,ok
 
Aisee mkuu ningekua yako ningekupa bonge moja ya busu kwa hii coment😘.
Kuruhusu vi emoji na maandishi kukuathiri ni hali tafakurishi kwa kweli
 
kwa kweli mi huwa najihoji mara 2 tatu why nipewe 👎

Kuna member kaibuka hapa yeye kila post abagawa Dislike tu sijui roho yake imekaaje kaaje humo ndani😅😅😅

Karibuni kwa Hoja na Love za kutosha mwenzenu nifurahi😍
Ipo hivi, what matters ni kwamba kuna mtu amesoma ulichokiandika na ame react, be it positive or negative but reation.

Mnaoumizwa na Dislike, ongeeni na hao wanao wapeni Dislike mzihamishie kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…