IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Hahahahaaaa๐๐๐๐ kweli donโt take it personal kwa kweli....Yupo mwamba sahz kala ban๐๐
huenda ni id(s) za mtu yule yulesiyo kwamba kitimoto ndiye muanzilishi ?
Ni huyu ye34nbe sasa amebadili ID ingine ile ilikula life banKuna jamaa alikua na huu mchezo I'd yake nimeishahau ila hakuchukua round ๐๐ Akala ban
Mkichoka chukueni na gongo kabisa mnywe kujipoza nitakuja kuwalipia maana kazi mnayoifanya ni kubwa mno. ๐Ni mtu 1 mkuu, wala sio wengi
Mkuu mi simo๐Mvaa Kobazi na ameanza kuugua taratibu hii corona ya dislikes ni fiver ya ajabu sana๐๐๐๐
Ni huyo huyo kitimotoMvaa Kobazi na ameanza kuugua taratibu hii corona ya dislikes ni fiver ya ajabu sana๐๐๐๐
Na leo anashindia kazi hiyohiyo kwa kila mchangiajialafu hili jamaa linaangalia sura, koote kaweka dislike, kwenye comment ya Mshana limeogopa kudislike[emoji38]
kazi kweli kweli! Mimi huwa sina muda wa kureact like/dislike mimi nasoma maoni na kupita tu..Na leo anashindia kazi hiyohiyo kwa kila mchangiaji
Nina mashaka na huyo kiumbe
A man of people ๐ now this's sarcasticraraa reree is a man of people
DISLIKE maana yake CHUMA KIMEGONGA MFUPA!kwa kweli mi huwa najihoji mara 2 tatu why nipewe ๐
Kuna member kaibuka hapa yeye kila post abagawa Dislike tu sijui roho yake imekaaje kaaje humo ndani๐ ๐ ๐
Karibuni kwa Hoja na Love za kutosha mwenzenu nifurahi๐