Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

Kuna hii shida ingine imeingiwa na bacteria sasa inawashwa....
A2C71130-916A-40E4-A757-19F0719F4B42.jpeg
 
Do ya thing hommie.
I believe you are just doing this for fun.
Its okay to play sometimes.
We cant be serious all the time.
Kwa upande wangu huwa ukinitwangaga hizo dislike huwa nacheka sana.
Kuna mahali nilikutetea halafu ukanitwanga dislike nilicheka sana mana sikutegemea. Najua hata hii coment utaitwanga dislike mwehu wewe
hahahah
 
Back
Top Bottom