Unajisikiaje unapoonekana mdogo kuliko umri wako?

Najivunia kuwa young forever... Wadogo zangu ni wakubwa kimuonekano na hata nikiongozana nao wao wanaonekana ni wakubwa kunizidi...najivunia sana hii hali ya kuwa na mwili mdogo mdogo...Kwa upande wangu sijapata changamoto yoyote...japo watu Huwa wananilinganisha na watoto wa 95 Huwa najichekea TU kimoyo moyo...🤣🤣🤣🤣​
 
habari wanajf,

Hili Jambo la kuonekana mdogo kuliko umri wangu limekuwa Jambo ambalo naona kwangu ni Kama laana au kama baraka Tena maana nikimwambia mtu umri wangu akanitazama na Mimi haamini.

Naonekana mdogo miaka kumi nyuma kuliko umri wangu halisi na hii imekuwa na madhara haya kwangu

👉Kushindwa kuchukuliwa sirias na watu.

👉Kushindwa ku date na baadhi ya wanawake kwasababu wanaoona Kama wanadate kijana mdogo wa shule.,

👉Kutokusikilizwa , na kupuuzwa.

👉Kukosa baadhi ya nafasi za kazi au uongozi sehemu Fulani Kwani watu wanakuuona Kama wewe ni mdogo Sana

👉inakupasa uwe ni mtu wa kujielezea Sana hata Kama ni interview basi unataja umri wako hata Kama hujaulizwa ili kuwa ondoa hofu. , hata Kama unatongoza msichana unakuwa unatamani umuonyeshe angalau cheti chako Cha kuzaliwa aamini.

Unaeza tamani uwe hata na ndevu tu lakini wapi!

hili Jambo naona Kama litanichelewesha kufika mbali kwani hata kukaa na watu wa Rika lako unaonekana Kama hupaswi kuwa hapo hivyo unajikuta umezungukwa na vijana wadogo , basi tu.

Hii hali inaweza kuwa ni nzuri kwa wanawake lakini kwa mwanaume inampunguzia heshima.

Kama Kuna mtu anapitia Maisha Kama haya naomba tusaidiane jinsi ya kukabiliana na hali hii.
Tatizo linaweza kuwa ni hormone za ukuaji, pia na mazungumzo Yako huenda yanachochea kuonekana mdogo.
 
Nina 50 lakini twenty agers tena wale early twentees wananiona mwenzao
 
Tatizo linaweza kuwa ni hormone za ukuaji, pia na mazungumzo Yako huenda yanachochea kuonekana mdogo.
Sisi wabongo tatizo ni lishe duni wakati wa ukuaji hakuna kingine. Litoto la kijerumani miaka 14 utadhani libaba unaweza kulisalimia..!
 
Juzi Kuna Dogo(Demu) Yuko form 6 mwaka huu (Mimi nilimaliza 2012) kanikuta nakula Cafe na ndugu yangu kakaniambia "Mambo" halafu mbele kamsalimia binamu yangu nimemzidi miaka 4 "shikamoo" Moyoni nikajitukana mwenyew Qmmke[emoji849]
Hahahah ni Tabu sana mkuu
 
Sema faida nayoipata kuwachakata wamama watu wazima yani niktongoza hawachomoi wanaona ni kama age mate wao
Sure upande huo utawatungua sana. ila wapo wengine wako tofauti.
Mim na mwonekano wangu wa kivulana + kauchebe ila mimaza inakujaga yenyew na wanajua Mimi Dogo. Kuna mmoja wiki 2 zilizopita nilipeleka moto lidada la mtaa wa jirani mpaka ananiogopa akiniona usoni anabadili pozi[emoji38]
 
Hiyo ipo Sana,una udongo mzuri
Mie mwaka Jana vimekuja vibint field,toka chuo nilichosoma,wakati vinatambulishwa kwa staff sikuwepo,kesho yake najihimu job,navikuta vimeketi,vinasubir siku ianze,vimeniona vikanambia,mambo🤔
Like what de fck,chuo wanachosoma ,mie nimetoka huko 10 years ago,afu unanisalimia mambo??nikazuga nikawaitikia,wasijisikie vibaya,Ila nikaona kama vimenidharau,

Muda wa chai wakaja wenzao wanaojitolea ofcn,wakanambia madame tunaomba twende tupapate breakfast,nikawaruhusu,nikawapatia na wekundu mmoja,nikiwaambia wakaribishen vizuri na wenzenu,wakatoka.

Wamerud baada ya nusu saa,nashangaa wanavyoongea nami ama kuuliza Jambo,wanauliza kwa heshma na adabu zote.

Nikajua yes,vijana wamewaeleza mie Nan kwa Ile ofisi.Hadi vinamaliza field,madame ikawa haiwakauki mdomoni na shkamoo za kutosha,so sometimes miili na sura fulan zinaficha umri halisi.
 
Kabisa
 
Back
Top Bottom