welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
tatizo si wewe ni picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo umekasirika?ushasema Mimi ni bwana mdogo mkuu, tuishie tu hapo.
Mvi ndio zitaharibu kila kituNajivunia kuwa young forever... Wadogo zangu ni wakubwa kimuonekano na hata nikiongozana nao wao wanaonekana ni wakubwa kunizidi...najivunia sana hii hali ya kuwa na mwili mdogo mdogo...Kwa upande wangu sijapata changamoto yoyote...japo watu Huwa wananilinganisha na watoto wa 95 Huwa najichekea TU kimoyo moyo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukazungukwaje na watoto sasaKwasababu najifahamu , kwanza sauti yangu huwa haisikiki ovyo ovyo , so nikizungumza watu huwa naona Wana pay attention, halafu I'm introverted kind of person so Kuna Kama barrier Kati yangu Mimi na watu wengine, and lastly sizoeleki kirahisi naweza ishi na watu 100 eneo moja kwa mwaka mzima lakini sifahamu hata majina Yao,. Ndio Mimi huyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo hata ulichokiandika hapa unahisi umeandika kiutu uzima?
Joti huyo.
Kweli hata Mimi napitia hii changamoto,Mwili mdogo miaka 40 mvi zimejaa kichwani.Mvi ndio zitaharibu kila kitu
Hii nzuri sana tena sana usiombe uonekane mzee wakati ni mdogo!habari wanajf,
Hili Jambo la kuonekana mdogo kuliko umri wangu limekuwa Jambo ambalo naona kwangu ni Kama laana au kama baraka Tena maana nikimwambia mtu umri wangu akanitazama na Mimi haamini.
Naonekana mdogo miaka kumi nyuma kuliko umri wangu halisi na hii imekuwa na madhara haya kwangu
👉 Kushindwa kuchukuliwa sirias na watu.
👉 Kushindwa ku date na baadhi ya wanawake kwasababu wanaoona Kama wanadate kijana mdogo wa shule.,
👉 Kutokusikilizwa , na kupuuzwa.
👉 Kukosa baadhi ya nafasi za kazi au uongozi sehemu Fulani Kwani watu wanakuuona Kama wewe ni mdogo Sana
👉 Inakupasa uwe ni mtu wa kujielezea Sana hata Kama ni interview basi unataja umri wako hata Kama hujaulizwa ili kuwa ondoa hofu. , hata Kama unatongoza msichana unakuwa unatamani umuonyeshe angalau cheti chako Cha kuzaliwa aamini.
Unaeza tamani uwe hata na ndevu tu lakini wapi!
Hili Jambo naona Kama litanichelewesha kufika mbali kwani hata kukaa na watu wa Rika lako unaonekana Kama hupaswi kuwa hapo hivyo unajikuta umezungukwa na vijana wadogo, basi tu.
Hii hali inaweza kuwa ni nzuri kwa wanawake lakini kwa mwanaume inampunguzia heshima.
Kama Kuna mtu anapitia Maisha Kama haya naomba tusaidiane jinsi ya kukabiliana na hali
Kweli hata Mimi napitia hii changamoto,Mwili mdogo miaka 40 mvi zimejaa kichwani.
Ni mwendo wa kunyoa kipara tu kwa sasa
Kuna watu nikiwaambia Nina familia wanakataa wakati mwanangu wa 1 yupo sekondari.
Ukiwa na hela utaonekana mtu mzima hata kama umri,sura na umbo lako ni dogo
Mimi kuna baba yangu mdogo kanizidi kama miaka 20 hivi lakini hua ananiita broo na hapo nina vi chenchi tu
Muda fulani naimba wimbo wa jay ze forever young miaka over 30 ila naonekana a teenager [emoji1][emoji1]
Mazoezi muhimu mkuu, ndambi lazima ipotee.Nimeacha Spirits nakwenda na ngano tu now, sema shida ya beer 🍺 na choma ndambi haiepukiki mkuu 😂