Unajisikiaje unapoonekana mdogo kuliko umri wako?

Unajisikiaje unapoonekana mdogo kuliko umri wako?

Umenikumbusha kuna siku nimekutana na ndugu ambaye hatukuwahi kuonana akaniambia "za saizi". Wakubwa wacha wamshukie kama mwewe msalimie vizuri huyu mkubwa sana kwako.

Mimi ni mkubwa halafu napenda ukubwa sana. Sema mwili na sura vinanikataa. Ndio hivyo kupambana na hali tu
Kwahiyo Mr. Van kila siku anahisi amelala na mwanafunzi?
 
habari wanajf,

Hili Jambo la kuonekana mdogo kuliko umri wangu limekuwa Jambo ambalo naona kwangu ni Kama laana au kama baraka Tena maana nikimwambia mtu umri wangu akanitazama na Mimi haamini.

Naonekana mdogo miaka kumi nyuma kuliko umri wangu halisi na hii imekuwa na madhara haya kwangu

👉Kushindwa kuchukuliwa sirias na watu.

👉Kushindwa ku date na baadhi ya wanawake kwasababu wanaoona Kama wanadate kijana mdogo wa shule.,

👉Kutokusikilizwa , na kupuuzwa.

👉Kukosa baadhi ya nafasi za kazi au uongozi sehemu Fulani Kwani watu wanakuuona Kama wewe ni mdogo Sana

👉inakupasa uwe ni mtu wa kujielezea Sana hata Kama ni interview basi unataja umri wako hata Kama hujaulizwa ili kuwa ondoa hofu. , hata Kama unatongoza msichana unakuwa unatamani umuonyeshe angalau cheti chako Cha kuzaliwa aamini.

Unaeza tamani uwe hata na ndevu tu lakini wapi!

Hili Jambo naona Kama litanichelewesha kufika mbali kwani hata kukaa na watu wa Rika lako unaonekana Kama hupaswi kuwa hapo hivyo unajikuta umezungukwa na vijana wadogo , basi tu.

Hii hali inaweza kuwa ni nzuri kwa wanawake lakini kwa mwanaume inampunguzia heshima.

Kama Kuna mtu anapitia Maisha Kama haya naomba tusaidiane jinsi ya kukabiliana na hali hii.
Kuchukuliwa siriaz kunatokana na madini unayoyatoa mdomoni, kama hauwezi kujipangilia kuanzia the way unavyoeongea na kuvaa na kutembea, hata ungekuwa mzee, haitakaa itokee uchukuliwe siriaz.
 
Kuchukuliwa siriaz kunatokana na madini unayoyatoa mdomoni, kama hauwezi kujipangilia kuanzia the way unavyoeongea na kuvaa na kutembea, hata ungekuwa mzee, haitakaa itokee uchukuliwe siriaz.
Hujanielewa maana ya kuchukuliwa siriaz hapo, namaanisha mtu anaona kama hupaswi kupata kile unachoomba especially Kama unaomba kazi. Yaani mtu anapima uwezo wako kwa kukutazama tu. hili linatokea sana
 
Shida ya lishe tangu ulipokuwa mchanga lishe ilikua ya taabu taabu, hebu jitahidi ule vinono uonekane na wewe mtu katika watu😆😆😆 issue ya uwiano katika ukuaji wa binadamu ni lishe tu hamna story nyingine. Lisheni watoto wenu vizuri jamani tupate kina LeBron James huku TZ
 
Je, Mimi ninayeonekana bonge la babu, wakati nina miaka 28, nilie au nicheke?
 
Umejuaje kwamba huna mazungumzo au mambo ya kitoto?
Kwasababu najifahamu , kwanza sauti yangu huwa haisikiki ovyo ovyo , so nikizungumza watu huwa naona Wana pay attention, halafu I'm introverted kind of person so Kuna Kama barrier Kati yangu Mimi na watu wengine, and lastly sizoeleki kirahisi naweza ishi na watu 100 eneo moja kwa mwaka mzima lakini sifahamu hata majina Yao,. Ndio Mimi huyo
 
Kwa hiyo hata ulichokiandika hapa unahisi umeandika kiutu uzima?
 
lishe? hapana.

Back
Top Bottom