Unajisikiaje unapoonekana mdogo kuliko umri wako?

Kwahiyo Mr. Van kila siku anahisi amelala na mwanafunzi?
 
Kuchukuliwa siriaz kunatokana na madini unayoyatoa mdomoni, kama hauwezi kujipangilia kuanzia the way unavyoeongea na kuvaa na kutembea, hata ungekuwa mzee, haitakaa itokee uchukuliwe siriaz.
 
Kuchukuliwa siriaz kunatokana na madini unayoyatoa mdomoni, kama hauwezi kujipangilia kuanzia the way unavyoeongea na kuvaa na kutembea, hata ungekuwa mzee, haitakaa itokee uchukuliwe siriaz.
Hujanielewa maana ya kuchukuliwa siriaz hapo, namaanisha mtu anaona kama hupaswi kupata kile unachoomba especially Kama unaomba kazi. Yaani mtu anapima uwezo wako kwa kukutazama tu. hili linatokea sana
 
Shida ya lishe tangu ulipokuwa mchanga lishe ilikua ya taabu taabu, hebu jitahidi ule vinono uonekane na wewe mtu katika watu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† issue ya uwiano katika ukuaji wa binadamu ni lishe tu hamna story nyingine. Lisheni watoto wenu vizuri jamani tupate kina LeBron James huku TZ
 
Je, Mimi ninayeonekana bonge la babu, wakati nina miaka 28, nilie au nicheke?
 
Umejuaje kwamba huna mazungumzo au mambo ya kitoto?
Kwasababu najifahamu , kwanza sauti yangu huwa haisikiki ovyo ovyo , so nikizungumza watu huwa naona Wana pay attention, halafu I'm introverted kind of person so Kuna Kama barrier Kati yangu Mimi na watu wengine, and lastly sizoeleki kirahisi naweza ishi na watu 100 eneo moja kwa mwaka mzima lakini sifahamu hata majina Yao,. Ndio Mimi huyo
 
Kwa hiyo hata ulichokiandika hapa unahisi umeandika kiutu uzima?
 
lishe? hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ