Unajisikiaje unapoonekana mdogo kuliko umri wako?

Mvi ndio zitaharibu kila kitu
 
Ukazungukwaje na watoto sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi wa kujupakulia minyama, hapa pisi zote baby face πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

jf ya upepo, utapovuma tumoo
 
HIiiiiiiu
Hii nzuri sana tena sana usiombe uonekane mzee wakati ni mdogo!
 
Kweli hata Mimi napitia hii changamoto,Mwili mdogo miaka 40 mvi zimejaa kichwani.

Ni mwendo wa kunyoa kipara tu kwa sasa

Kuna watu nikiwaambia Nina familia wanakataa wakati mwanangu wa 1 yupo sekondari.

Hilo ni tatizo la akili huenda,unanyoa kuwaficha watu umri wako wakati mkeo anajua na ukienda kwa Daktari unataja mwenyewe umri
 
Ukiwa na hela utaonekana mtu mzima hata kama umri,sura na umbo lako ni dogo

Mimi kuna baba yangu mdogo kanizidi kama miaka 20 hivi lakini hua ananiita broo na hapo nina vi chenchi tu

Amekujua unapenda kujikweza,anakusifia akuibe
 
Mkuu

Umenilenga kabisa, umenielezea vizuri mno!

Sio wa dogo zangu kuonekana kunizidi, sio mke wangu mkubwa kwangu hadi watoto naambiwa sio wangu eti ni wadogo zangu sasa kuwa na mwili mdogo, kukosa ndevu na kuwa mfupi ndo chanzo cha kukosa iliyo halali yangu?


Kanisani wakisema vijana huku na wazee kule kila kundi linadai mi sio wa huku nenda kule kwa wazee/vijana!

Mi ni wa kuitwa dogo mtu umri huu? Dharau kabisa.

[emoji23] nimekumbuka enzi hizo baada ya vita ya Tanzania na Uganda ilikuwa ikifanyika oparation mkoa wa Mara wilaya 2 tu (Mugumu na Tarime) ya walio silaha.

Sorry nje mada

(Niwakumbushe kidogo,
Vita wakati ikiendelea kulikuwa na urejashaji wa miili ya marehem waliofia vitani, miili ilikuwa ikija ndani ya jeneza unakuta bunduki zimo na baadhi ya majeneza yalikuwa hayana miili ni silaha tupu!

Basi bana vita ilivyomalizika ikaoneka wilaya ya Tarime vijijini silaha zipo nyingi tu vijijini huko.

Nifupishe story
Mwl. Nyerere tena!
Vilitumwa vikosi huko!
Mungu mkubwa hakuna uasi ulifika kufanyika.

Baadhi ya silaha zikarejeshwa kwenye kambi na baadhi zilifichwa mashambani na waliokuwa na silaha wengine walikimbilia Mugum

Ko ukaanzishwa utaratibu wa kufanya inspection kila kijiji kila kaya tena ni kwa kushtukiza
Wao walikuwa wakifika ni neno 1 tu SILAHA

walikuwa wakikuta vijana ni kipigo cha mbwa koko onyesha silaha ilipo

Sina hili wala lile naibuka home naambiwa silaha iko wapi nikasema sijui wakasema kana dharau mwingine mwache huyo ni mdogo [emoji23]!

Wakaja kwa babu wanamuomba silaha kaingia ndani kawaletea Biblia wakacheka wakaondoka
Mi kuzungu nyumba ya pili nawakuta wanakunywa busara kwa viazi)

Ok turudi kwenye mada, kwa ujumla dharau zimezidi

Ila jambo linalosababisha kwa upande wangu nahisi ni mavazi (sijawahi kuacha jeans na T-shirt)

Company niliyonayo pia ni mule mule nawazidi ila ukiambiwa nawazidi utakataa

Kama kuna namna members mnaweza nipa mbinu niheshimiwe please [emoji120] nitashukuru sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…