Unajisikiaje unapopata reactions za wadau kwa ulichopost?

Unajisikiaje unapopata reactions za wadau kwa ulichopost?

Mkuu emb naomba nielekeze namna ya kupiga misumari, kuna watu sitaki kuwaona.
IMG-20250121-WA0000.jpg
 
Kila mtu ana mtizamo wake juu ya jambo fulani, Kwahiyo sijali kuhusu wengine wanavyofikiri kuhusiana na post zangu.

Ninajitahidi tu kuandika kile ninachoamini ni Sahihi bila kuogopa reaction itakuaje.
 
Back
Top Bottom