Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Umaarufu mtandaoni hauji kwa kufosi kwa kujifanya unavamia vamia kila Member huku ukifosi upewe attention na uongelewe.Yule nae sijui mshangazi alivamia jukwaa akawa anafosi sana umaarufu ,muache hukohuko kapuni
Kuna Lucas Mwashambwa anajua kusepa na kijiji aisee na halafu hana time na raia akianzisha uzi ndani ya dk chache tu unakuta una replies zaidi ya 200 🤣🤣🤣