Unajisikiaje unapopata reactions za wadau kwa ulichopost?

Unajisikiaje unapopata reactions za wadau kwa ulichopost?

Iwe ni response ya meseji 📩 likes👍reactions😍 🤣 😡au hata dislikes👎

Wajisikiaje?
Lolote kati ya uliyoyataja hapo 👆 👆 huwa nafurahia kwa sababu huyo aliyetoa response kwanza ametumia muda wake wa thamani kubwa kusoma nilichoandika hata kama ni pumba na ameuthamini pia muda wangu niliotumia kuandika nilichoandika na ameonesha kanitambua miongoni mwa wengi waliosoma lakini wakapita hv hata sijui wamefurahi ,wamechukia au vp.
Hata matusi siyachukulii kwa hasira ila najaribu kuona nimechemka wapi. Ndo mana sio rahisi unikute nimejibu matusi kwa kutoa matusi lakini hiyo haimaanishi eti kwamba siyajui matusi.
 
Iwe ni response ya meseji 📩 likes👍reactions😍 🤣 😡au hata dislikes👎

Wajisikiaje?
Ni muhimu na ni jambo la maana sana kushukuru na kufurahia reactions za aina zote kwasabb ndicho kila moja anachofikiria kureact kwa uhuru na haki 🐒
 
Naona unakula likes tyuu.!! 😹😹
Shangazi sijui kapotelea wapi? Shem anatia huruma kweli 😜
🤣🤣🤣🤣mimi kama shemeji nasemajeeee asikae kizembee...halafu hata kipenzi wangu wa Chugastan nae kapotea yaani hawamtendei haki shemela
 
Duu! Take it easy! Hiyo namba ni kubwa sana. Isije ikawa wewe mwenyewe ndiye changamoto 😅
Kuna wakati naingia front pages ni habari moja tu kama kile kipindi cha pdidy, kila muda nyuzi za pdidy basi naziignore tu.

Mimi ni tatizo sio uongo😂
 
🤣🤣🤣🤣mimi kama shemeji nasemajeeee asikae kizembee...halafu hata kipenzi wangu wa Chugastan nae kapotea yaani hawamtendei haki shemela
Shem anatafutiza chochote kitu 😹😹
 
Back
Top Bottom