Unajisikiaje unapopata reactions za wadau kwa ulichopost?

Unajisikiaje unapopata reactions za wadau kwa ulichopost?

Waweke tu option ya moja kwa moja kama ukiblock mtu huoni kingine chochote kuhusu yeye
Usifikie huko unaemuona mkorofi humu leo yawezekana kesho akakupa mawazo yenye kukutoa sehemu moja kwenda nyingine.

Stay positive tu. Bila negativity huwezi ku grow aisee
 
Tatizo watu wanapenda kusifiwa hata km ujinga..!! 😹
Chama cha watoa comment tuko vizuri, hatucheki na yoyote 🤣
Ndio hapo huwa naonaga members humu wanakuwaga Wana mambo ya kiwaki. Kuna member (Numbisa) kaandika ukim dislike mara5 anakuwa ignore Nimesha dislike mara 1 bado mara 4. 🤣🤣🤣
 
Ndio hapo huwa naonaga members humu wanakuwaga Wana mambo ya kiwaki. Kuna member (Numbisa) kaandika ukim dislike mara5 anakuwa ignore Nimesha dislike mara 1 bado mara 4. 🤣🤣🤣
😹😹😹 Ignore za JF mi nazipenda mnoooo.!!
Kwanza limtu likikuignore wewe hata hujui so itamtesa yeye..!!
Halafu wewe nyuzi na comments zake unaziona na una uwezo wa kulijibu unavyotaka, hiyo juu yake km kaona au hajaona, muhimu wewe ushatoa maoni yako na yanasomwa na member wengine..!! ( Na mashosti zake watalifikishia ujumbe) 🤣

Sasa hapo nani anateseka?? 😹😹😹
Piga cheers mtu wangu 🥂
 
Tatizo JF mnaichukulia serious Mangi 😹😹
Sijawahi ignore member yoyote na uzuri hata walioni-ignore sometimes wananimiss wananichungulia 🤣
Nawapa pole wanajitesa tyuuu.!!
😄 toka nimejua humu kuna mpaka vitoto vyangu vinatukana wazee navitupia humo tu😆
 
😄 toka nimejua humu kuna mpaka vitoto vyangu vinatukana wazee navitupia humo tu😆
Humu unaweza kuta hata uncle wangu alinitongoza piem 😹😹
Sasa ndo uchukie kweli kwa watu wenye fake id’s hamjuani?? 🤣
 
Humu unaweza kuta hata uncle wangu alinitongoza piem 😹😹
Sasa ndo uchukie kweli kwa watu wenye fake id’s hamjuani?? 🤣
Unakuta hata sijachukia , ila bangi zangu zina allergy na matusi tu😁
 
Back
Top Bottom