Unajisikiaje unapopata reactions za wadau kwa ulichopost?

Iwe ni response ya meseji 📩 likes👍reactions😍 🤣 😡au hata dislikes👎

Wajisikiaje?

Watu huwa hata hawajui wanalikes nini.

Kuna Siku Samson Charles Mtangazaji wa EATV alipost Picha akiwa na Marehemu Glory(enzi za uhai) ,sasa kuna baadhi ya watu walianza kumsifia kwamba ana mke mzuri na pale kwenye caption ameandika kabisa maneno ya kama kumuaga rafiki yake...Namaanisha watu huwa hawasomi wao wanalike na kucomment bila hata kutafakari kilichoandikwa.
 
Nimechungulia nimekuta nimeignore members 34 na threads 17😂
1737483927433.png
 
Jäegermeister 😹😹

Uzuri wa shem yeye km simba akikosa nyama anakula zake majani tabu ya nini?? 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣anakuzoom tu ujue!ngoja akamwambie nyampala ukaswekwe lu
 
🤣🤣🤣🤣🤣anakuzoom tu ujue!ngoja akamwambie nyampala ukaswekwe lumande
😹😹😹 Ana kitu kimemkaba ila km samaki baharini machozi yake yanaondoka na maji..!!!

Heeehiyaaaaa..!! Rohoooooniiiii
Ahiiiiiiiii wewe, jamani mi naogopa 🤣
 
Sema nini!ni cool dude hana shida bhana😅
 
Vibaya mno, huyo anajua kucheza na ile principle ya kula nyamaza..!! 😹😹

Ila kaitafuna mitumbua uongo mbaya sis, huyo ni G.O.A.T wa mbususu wa muda wote..!!
Watu mpk wamebadili id famchezo 🤣
 
Tatizo lao wanaliwa wao halafu wanataka washindane wao🤣🤣🤣
 
Wacha weeeee!sponsor kumbe hana baya?
Hiko ndo kinawafanya wanapigana vikumbo 😹😹

Sponsor mpk ajira anatoa ni wewe tu kujua kucheza midfielder bed to bed shuka lote lijikusanye katikati…. Aahh mbona sponsor atakuspoil mpk ububujikwe na machozi 🤣🤣🤣

Nitasutwa ngoja nikakojoe kwanza 😹🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Aloooooh hadi ajira,😋😋😋...Kweli shemela ana haki ya kugombaniwa maana wadada tunapenda mambo mazuri...ila kibanana alizidi tashtit🫣🤣
 
Kibnana domo lilimponza anaringia nyash, wenzie wale wa migombani indalama first ni mwendo wa bata tredi 😹😹😹

Kibanana kaja kushtukia game mwishoni kumbe odds zake chache km za Manchester kachaniwa mkeka alfajiri kabla Petro hajamkana Yesu… kaambulia manyoya na tumbua limelika bila malengo 🤣🤣🤣

Sponsor kaja kurudi hana chenji wadada wa migombani wamempurusa kachoka kachakaa… chenchi anazo ila sio km mwanzo nasikia hata kile kitengo kahamishwa cha mwanzo cha kujitoa km kisima cha maji ya uzima..!!
 
😂😂😂😂Daah una mambo mazito,jumamosi ntalipa jagermaster mimi ili ukilewa unipe ubuyu vizurii
 
😹😹😹 Tatizo nikinywa pombe za bure natoa mpk ubuyu wangu, namwaga wote…!!
 
Watu huwa hata hawajui wanalikes nini.

Kuna Siku Samson Charles Mtangazaji wa EATV alipost Picha akiwa na Marehemu Glory(enzi za uhai) ,sasa kuna baadhi ya watu walianza kumsifia kwamba ana mke mzuri na pale kwenye caption ameandika kabisa maneno ya kama kumuaga rafiki yake...Namaanisha watu huwa hawasomi wao wanalike na kucomment bila hata kutafakari kilichoandikwa.
😆😆
 
Back
Top Bottom