Hii kitu ilinitesa miaka Ile nimefungua akaunti ya fesibuku. Hakuna hata watu unaofahamiana nao, unaenda kwenye page ya msanii mfano Sean Paul ndo unatafuta friends huko.Kuna watu huwa wanalike kila post, hasa pale anapoanzisha uzi halafu watu wakachangia. Utakuta analike tu kwa aliyemjibu vizuri au hata aliyemjibu vibaya yeye anatoa like tu. Lakini tangu nimeingia humu sikumbuki ni mara ngapi nimeona like za Maxence Melo kwenye nyuzi. Leo nimeona amelike uzi mmoja humu amelike. Kutakana na umuhimu na nafasi yake, kwa mtazamo wangu aki like post fulani nachukulia kama ni heshima fulani.
Humu ana nafasi mbili.Kuna watu huwa wanalike kila post, hasa pale anapoanzisha uzi halafu watu wakachangia. Utakuta analike tu kwa aliyemjibu vizuri au hata aliyemjibu vibaya yeye anatoa like tu.
Lakini tangu nimeingia humu sikumbuki ni mara ngapi nimeona like za Maxence Melo kwenye nyuzi. Leo nimeona amelike uzi mmoja humu amelike. Kutakana na umuhimu na nafasi yake,
kwa mtazamo wangu aki like post fulani nachukulia kama ni heshima fulani.
Maxence Melo ....MUBYAZI njoo bana unaitwa huku
Obvious we we ni Ally KibaKawaida tu, mie mbona yule dogo mmiliki ya facebook alishawahi kulike post yangu!
Sema sipendi show off.