Unajisikiajie Maxence Melo anapo like "post" yako

Unajisikiajie Maxence Melo anapo like "post" yako

Kuna watu huwa wanalike kila post, hasa pale anapoanzisha uzi halafu watu wakachangia. Utakuta analike tu kwa aliyemjibu vizuri au hata aliyemjibu vibaya yeye anatoa like tu.

Lakini tangu nimeingia humu sikumbuki ni mara ngapi nimeona like za Maxence Melo kwenye nyuzi. Leo nimeona amelike uzi mmoja humu amelike. Kutakana na umuhimu na nafasi yake,

kwa mtazamo wangu aki like post fulani nachukulia kama ni heshima fulani.
Ame-like post ya kwako au ya mtu mwingine?. Unajuaje like ya mtu mwingine kwamba ime-like-wa na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani alikuwa ana like, miaka hii sijui ni pesa imeongezeka zikamtia jeuri au kesi zimentinga haonekani,

Sent using Jamii Forums mobile app

nilichogundua ni kwamba, miaka ya zamani hadi alikuwa anachangia mada kabisa lakini siku hizi anashindwa huenda kutokana na nyuzi zetu tunazoanzisha, kuna mtu anaitwa kenny trump. yule mtu huandika nyuzi za kipuuzi sana yeye na wenzie


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninazo like zake za kutosha. Hata hapa naona katembeza like👍 za kutosha pia kwa watu.
 
hahaha duh! umenikumbusha jack ma wakati anaanzisha alibaba alikuwa amekonda alafu kavaa suruali size ya mkapa!
 
Screenshot_20200320-013536.png
 
Back
Top Bottom