Unajisikiajie Maxence Melo anapo like "post" yako

Unajisikiajie Maxence Melo anapo like "post" yako

Kuna watu huwa wanalike kila post, hasa pale anapoanzisha uzi halafu watu wakachangia. Utakuta analike tu kwa aliyemjibu vizuri au hata aliyemjibu vibaya yeye anatoa like tu.

Lakini tangu nimeingia humu sikumbuki ni mara ngapi nimeona like za Maxence Melo kwenye nyuzi. Leo nimeona amelike uzi mmoja humu amelike. Kutakana na umuhimu na nafasi yake,

kwa mtazamo wangu aki like post fulani nachukulia kama ni heshima fulani.
Kawaida tu.

Wewe unajisikiaje Obama akiku tag ?
 
Trump Alisha wahi Ku retweet tweet yangu Kule kwenye TL yako niliona ishu ya kawaida sana mzee..
 
[emoji23][emoji23][emoji39] sishindwi, nikianza agenda yangu sitaki kushindwa. Siku ukilike tu mimi napata joto sana haha!!


🤣🤣🤣🤣!...siku ntakunyweshwa miwine 😋😋...utajuutraaa!..alafu tunavyochat hapa ova tunafahamiana..lol..nakukjmbusha besdei yangu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!...siku ntakunyweshwa miwine [emoji39][emoji39]...utajuutraaa!..alafu tunavyochat hapa ova tunafahamiana..lol..nakukjmbusha besdei yangu
Tukipiga [emoji485] nina uhakika wewe ndio utapata "shida"! Kwani kufahamiana si kunaanzia hapa, siku nikikuona tunaendeleza tu, hem' ngoja nipunguze hili tumbo kwanza hahaha[emoji23][emoji23]
 
Tukipiga [emoji485] nina uhakika wewe ndio utapata "shida"! Kwani kufahamiana si kunaanzia hapa, siku nikikuona tunaendeleza tu, hem' ngoja nipunguze hili tumbo kwanza hahaha[emoji23][emoji23]

🤣🤣🤣tumbo linapendezea shati bwana wee!..tumbo lina hadhi yake mkuu...hata bank unakopesheka bila dhamana...! Ila lisizidi usije umia style zingine🤣🤣🤣(akili za kukosa kaz hizi)
 
Ame-like post ya kwako au ya mtu mwingine?. Unajuaje like ya mtu mwingine kwamba ime-like-wa na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unatumia jf app clik apo kwenye hicho ki dubwasha cha dole gumba (like) utaona hivi idadi ya id zilizo penda/like post yako
Screenshot_2020-03-20-10-34-13.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tumbo linapendezea shati bwana wee!..tumbo lina hadhi yake mkuu...hata bank unakopesheka bila dhamana...! Ila lisizidi usije umia style zingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787](akili za kukosa kaz hizi)
Naendelea kulike posts zako, ukilike zangu napata faraja halafu naendelea kuhamasika[emoji39][emoji39][emoji23]
 
Back
Top Bottom