Unajisikiajie Maxence Melo anapo like "post" yako

Unajisikiajie Maxence Melo anapo like "post" yako

Kama unatumia jf app clik apo kwenye hicho ki dubwasha cha dole gumba (like) utaona hivi idadi ya id zilizo penda/like post yakoView attachment 1393726
Iko na mfumo huu,sijaona alama ya dole gumba mkuu.
Screenshot_20200320-113818.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe na yeye yuko humu?anatumia Id gani mkuu
Kuna watu huwa wanalike kila post, hasa pale anapoanzisha uzi halafu watu wakachangia. Utakuta analike tu kwa aliyemjibu vizuri au hata aliyemjibu vibaya yeye anatoa like tu.

Lakini tangu nimeingia humu sikumbuki ni mara ngapi nimeona like za Maxence Melo kwenye nyuzi. Leo nimeona amelike uzi mmoja humu amelike. Kutakana na umuhimu na nafasi yake,

kwa mtazamo wangu aki like post fulani nachukulia kama ni heshima fulani.
 
Ni sawa na mama ntilie kula chakula chake mwenyewe wewe unajisikiaje?
 
Raha sana,Kama kurudisha fadhila mara moja moja nilikua naenda kwa profiles zao(mods)nachapa likes za kutosha

Daah waliponiamulia ban mfululizo nimewaziraaaa


Ww unakulaga ban?? Duh😅😅! Mie mwaka mpya tu ikanikuta na ban..kwanza nshazoea!
 
Back
Top Bottom