Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

nahisi hujaelewa statement yangu vizuri , for your information namfahamu huyo sylivia bahame , kwa mtazamo tu ukimlinganisha na ma miss wengine mf anjela damasi , jaqueline , yeye ni mfupi
Toa vipimo bwa shee.... She 5....6.....7. Or something acha kujibu kwa hisia
 
Fid alimtaja katika ngoma yake ya kadi, ua na rose. Albamu ya vina mwanzo, kati na mwisho.
 
Silivia Bahame, namkumbuka huyu
Nipe Haiba.... Sylvia nakumbuka nilikuwa wkt wa mashindano nawahi mapemaaaaaa..nakaa sit ya mbele huyu dada hakuwa anajua namfata yeye nakaa nikimsibiri apite aje aelezee, nk I still love this lady
 
Huyo ameteuliwa na mama kuwa mkuu wa wilaya nadhani ni uko Tanga kama sio handeni basi ni lushoto ila ni mkoa wa Tanga huko


Ila iyo I live you mmmmmhhh[emoji848][emoji848][emoji848]
Wa Tanga ni basila mwanukuzi
 
Nampenda sana Bahame.

Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South.

Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu mie I love you Sylvia Bahame.



Dude zuri ila kwa sababu hela sina Bora nikapige punyere tu
 
wengi wanamjua nargis mohammed sababu aliingia bongo movie, ila kipindi nargis anakuwa mshindi wa pili huyu sylivia ndio alichukua taji. Ni kati ya mamiss wachache kama mwenzie Angela Damas ambao hawakutaka spotlight ndio maana hawajulikani sana
nargis ali kuwa kisu aisee.
 
Back
Top Bottom