Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
- Thread starter
-
- #101
Toa vipimo bwa shee.... She 5....6.....7. Or something acha kujibu kwa hisianahisi hujaelewa statement yangu vizuri , for your information namfahamu huyo sylivia bahame , kwa mtazamo tu ukimlinganisha na ma miss wengine mf anjela damasi , jaqueline , yeye ni mfupi
Nipe Haiba.... Sylvia nakumbuka nilikuwa wkt wa mashindano nawahi mapemaaaaaa..nakaa sit ya mbele huyu dada hakuwa anajua namfata yeye nakaa nikimsibiri apite aje aelezee, nk I still love this ladySilivia Bahame, namkumbuka huyu
Wa Tanga ni basila mwanukuziHuyo ameteuliwa na mama kuwa mkuu wa wilaya nadhani ni uko Tanga kama sio handeni basi ni lushoto ila ni mkoa wa Tanga huko
Ila iyo I live you mmmmmhhh[emoji848][emoji848][emoji848]
Nilishajibiwa mdaWa Tanga ni basila mwanukuzi
Alisoma UDsm. Nadhani alijiunga mwaka 2004 first year. Nilioneshwa, yule ndiye Sylvia Bahame. Mabibo hosteli hiyo.2003 ni umri wa miaka 19 na wengine wapo chuo first year
Eeeehh kweli bhana nimechanganya
Mwenye Kupenda HaoniKupenda sio dhambi [emoji23]
Mapenzi upofuMwenye Kupenda Haoni
IndiaHivi wakuu kuna huyu miss tanzania wakuitwa Richa adhia yule muhindi alipoteleaga wapi ivi?l
Dude zuri ila kwa sababu hela sina Bora nikapige punyere tuNampenda sana Bahame.
Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South.
Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu mie I love you Sylvia Bahame.
dhambi ni kutamaniKupenda sio dhambi [emoji23]
nargis ali kuwa kisu aisee.wengi wanamjua nargis mohammed sababu aliingia bongo movie, ila kipindi nargis anakuwa mshindi wa pili huyu sylivia ndio alichukua taji. Ni kati ya mamiss wachache kama mwenzie Angela Damas ambao hawakutaka spotlight ndio maana hawajulikani sana
siku hizi ni guest 😁😂Khm hiyo kuna mtaa wa calfonia, actually ni bar