ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sija mshuhudia uongo kwa lolote zaidi ya kumshauri atubie, maana binaadamu hatujakamilika.Amri ya tisa
Kut 20:16 Usimshuhudie jirani yako uongo.
Miaka nenda rudi eti usubiri ajenge nchi KwanzaHaina ubishi wanufaika wakubwa wa siku 100 za kwanza za Rais SSH ni CDM, Mbowe na Mdude kwa maelekezo, falsafa na haiba ya Samia. Mpaka tukaandika threads nyingi za kusema "Mama anaupiga mwingi".
Ningetegemea Mbowe na Lissu watumie busara katika madai yao kwa kuwa wasikivu na wavumilivu pale Samia aliposema suala la Katiba lisubiri ajenge uchumi.
Na sekunde chache baada ya lile bomu mkokosa wauwaji wakajaribu kumlenga kwa risasi ambayo nadhani moja ili mdhuru ole milya maana ndiyo walikua wamekaa naye karibu.Umesahau
Alikoswa na bomu Soweto Arusha. Bomu lilianguka mahali alipo ondoa mguu.
Ndugu,Mkuu sija mshuhudia uongo kwa lolote zaidi ya kumshauri atubie, maana binaadamu hatujakamilika.
Bila kuhukumu,Inawezekana kabisa ukawa na makosa na dhambi zaidi ya Mbowe! "Biblia inasema toa kwanza bolti ndani ya jicho lako mwenyewe kabla ya kutoa kwenye jicho la MBOWE![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ukienda kumtembelea weekend hii mwambie atubie makosa yake yote aliyo yatenda kwa siri.
Ni kweli,kumbuka hata Jiwe alikuwa na kiburi cha Uzima.Kumbuka hata yule tajiri alikuwa na kiburi cha Uzima lakini alivyo kufa alitamani LAZARO achovye ncha ya kidole ampe maji.Tangu lini gaidi akawa mtu wa kawaida
Asante sana wasifu huu ni haki ya shujaa kama Mbowe. Mungu ambariki Mbowe awe kiongozi wa nchi hii siku chache zijazo.Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida,amini nakuambia.
Huyu mwamba amezaliwa kwenye familia ya kitajiri,
Baba yake alikua ni tahiti na alimwezesha Mwlm Nyerere kifedha kwenda NY Marekani kudai uhuru.
Wewe ndiyo mjima nani kasema nchi ni ya mtu mmoja? Weka mstari nilioandika hivyo!!Acha kuwa na mentality ya kijima. Nchi hii siyo ya mtu mmoja.
Miaka nenda rudi ni mingapi? Wakati alitoa hilo jibu akiwa na siku 30 tu!! Leteni arguments zenye mashiko, acheni kudandia hoja za wanasiasa wanaogombea madaraka.Miaka nenda rudi eti usubiri ajenge nchi Kwanza
Good for you!!Hata akifungwa kwa ugaidi familia yako itaendelea kuwa maskini !Itaendelea kuwa omba omba wa Lumumba!!Ni kweli sio wa kawaida ni gaidi utake usitake
Tanzania bila ugaidi inawezekana
Andiko lako refu ni hafifu sana.Mbowe ni Mzalendo wa kweli,ni mtaka mabadiliko wa kweli ni mpenda haki wa kweli.Mbowe hayupo kwenye siasa kwa sababu ya njaa,Mbowe kweli ni mtetezi wa wanyonge na ndio kazi ya chadema na chama makini cha siasa.
Na enzi hizo Mwigulu ndiye alikuwa 'General' wa kundi lililokuwa na kazi ya kuimaliza CHADEMA!Umesahau
Alikoswa na bomu Soweto Arusha. Bomu lilianguka mahali alipo ondoa mguu.
Kwani 'Maza Mizinguo' alikuwa anawafanyia fadhira Mbowe na Lissu?Haina ubishi wanufaika wakubwa wa siku 100 za kwanza za Rais SSH ni CDM, Mbowe na Mdude kwa maelekezo, falsafa na haiba ya Samia. Mpaka tukaandika threads nyingi za kusema "Mama anaupiga mwingi".
Ningetegemea Mbowe na Lissu watumie busara katika madai yao kwa kuwa wasikivu na wavumilivu pale Samia aliposema suala la Katiba lisubiri ajenge uchumi.
Duniani tunaishi kwa win- win situation. Kama Samia amefuta kesi za kubambikiza, Mahakama zimeanza kutenda haki, akaunti za Mbowe zimefunguliwa, uhuru wa maoni umeruhisiwa na hatua za kudhibiti COVID-19 zimeanza kuchukuliwa, hiyo ni WIN kwa CDM. Nilitegemea naye Rais SSH WIN yake iwe kusikilizwa aliposema nataka nijenge uchumi kwanza.
On the contrary Mbowe na Lissu wakaanza kumfokea Rais kama vile ni mbunge wa BAWACHA??
Mpaka unajiuliza nini kimewapata hawa watu ambao kwa Mwendazake waliufyata miaka 5. Mwendazake kawapiga risasi, kavunja Bilicanas na kavunja na mashamba yake, kamchukulia na fedha kwenye akaunti. Hajawahi hata kulalamika.
Samia kamrudishia akaunti, kesi zao za kubambika zikapigwa chini pamoja na ya MDUDE. Halafu wao ndiyo wa kwanza kusema HATUWEZI KUMBEMBELEZA Samia. Shenz taipu Bladifakeni Mbowe
Kuna mwanasiasa asiyegombea madaraka? Taja angalau mmoja tu.Miaka nenda rudi ni mingapi? Wakati alitoa hilo jibu akiwa na siku 30 tu!! Leteni arguments zenye mashiko, acheni kudandia hoja za wanasiasa wanaogombea madaraka.
Ya kwako wewe "uliyoyatenda kwa siri" nani atakusaidia kutubia...?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ukienda kumtembelea weekend hii mwambie atubie makosa yake yote aliyo yatenda kwa siri.