Unajua Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida?

Mbowe namheshimu sana kiukweli pamoja na kwamba siipendi CHADEMA.
 
Ugaidi wa Mbowe ni kuzamisha ideology za haki maendeleo na amani miongoni mwa watanzania wengi

Kazi hii imetukuka mno.
 
Kuna muda natamani kujua jamaa elimu yake hata kwaufipi Ila haiwezekanagi ,mwenye taarifa zaidi
 
Ndiyo hizo dharau sasa ninazoziongelea. Unamuwekea timeframe Rais wa nchi?? Wewe nani?? Mbowe mwenyewe hajaachia Uwenyekiti wa CHADEMA kuanzia mwaka 2003, halafu anataka kumpangia Rais SSH??

Muache aendelee kunyea debe kwanza, na akitoka atakuwa kashika adabu. Shenzy Taipu
 
Miaka nenda rudi ni mingapi? Wakati alitoa hilo jibu akiwa na siku 30 tu!! Leteni arguments zenye mashiko, acheni kudandia hoja za wanasiasa wanaogombea madaraka.
Si ndiyo ajenda za chama changu za ngoja tujenge uchumi kwanza,, uchumi haujengwi kwa miaka mitano ndugu kama wanavyo tuaminisha hawa wanasiasa wa chama changu cha CCM, Ikiwa vitu vingu vinafanyika nyuma ya pazia,, uchumi tutausikia kwenye maneno tuuu
 
#FAM hawezi kupendwa na ccm. Amekuwa imara kwa miaka mingi sana. Amevishinda vikwazo na vizingiti vya ccm na watawala.
Ni mzalendo. Ni mpambanaji.
Wasiomjua vizuri wanafikiri #FAM ni kama #Kigwa au #Msukuma au #Kibajaji #Cheyo au #ZZK wanaotegemea siasa na mbeleko ili waishi!
 
Hujui kitu kuhusu uchumi, huwezi kuchangia kitu wewe mbumbumbu
 
Samia ndo kajichafua mwenyewe Mulamula kaenda state department kuomba Hangaya aonane na Biden au Kamara kakataliwa coz of Mbowe
 
Kwa umei wako humjui Mbowe
 
Samia ndo kajichafua mwenyewe Mulamula kaenda state department kuomba Hangaya aonane na Biden au Kamara kakataliwa coz of Mbowe
Mnaaminishwa vitu vya upuuzi tu. Ule New York ulikuwa mkutano wa UN siyo USA na Tanzania.

Weka hapa barua ambayo Mulamula aliandika kuomba appointment na Joe Biden au Kamala Harris. Then weka na ya majibu ya kukataliwa. Kama huna basi funga Domo lako kubwa
 
Tulia we tikiti Samia amehaha Sana kuonana na Kamala,,,coz US walimjibu Mulamula kuwa nchi inanuka no democracy no rule of law
 
Kuwa na mawazo huru Rais ni mtumishi wa wenye Nchi ambao ni Wananchi .Na kumwambia Rais kuhusu katiba mpya sio kumtukana ni mahitaji ya wenye Nchi kwa Sababu tayali sheria ya katiba mpya ilishatungwa 2012 .Nakushangaa kama Jambo dogo kama hili hulijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
100% ukweli mtupue
 
Tulia we tikiti Samia amehaha Sana kuonana na Kamala,,,coz US walimjibu Mulamula kuwa nchi inanuka no democracy no rule of law
Achana na huyo kiazi cherema. Ni mropokaji tu mwenye haiba kama za popo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…