Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Hayo mambo mbona ya kawaida.Duniani hapa hizo ndo vurugu zenyewe.Wewe unataka watu waoe na kuelewa na malaika.Mtu ametumika hajatumika haikuhusu wala sio suala la kujali na kuumiza kichwa as long wote mmeamua kuunganisha team kuyasogeza maisha ya hapa duniani, ambayo hata hatujui lengo lake ni nini hasa.
 
🤮🤮
 
Una akili sana! OCD inamaliza vijana!
 
Chaguo la tatu ni wanaume kuacha kutengeneza single mothers.
YAH upo sahihi bro, wapo wanaume wanaozingua knoma aisee.

Kuna demu mm namuelewa knoma ila n single mother, Yn hii iliniumiza knoma Ila nikaa pembeni tuu aisee

Namuomba Mungu sana, mwanamke atakayebeba mimba yangu, bc awe huyo huyo na sio mwngn nitakayekuwa nae
 
Kwahiyo mzee hujataka ku take risk ya kuoa kabisa, 😃😃😃😃 basi wewe na Natafuta Ajira wote mnawaza sawa
 
Tupumzishwe jamani🥺
Haha, uhalisia haupo hivyo. Dunia haijawahi kuwa single entity.
Mkuu wewe wanawake zako unawaingilia wana bikira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…