Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Wewe hauini shida kuoa used, lakini kuna mwingine kwake hicho ni kipengere, na sio kweli sababu ni umimi. Zipo sababu nyingi sana za kiroho, kijamii na kisaikolojia.

Kiroho mwanamke ambaye umekutana nae ashatumika hawezi kuwa mke wako. Katikaulimwengu wa kiroho uyo ni mke wa mwanaume aliemtoa bikira

Kijamii mkeo ni kiwakilishi cha heshima utakayopewa, na hakuna mwanaume anaweza kukuheshima ikiwa anaujua uchi wa mkeo, vilevile katika jamii inayojua mkeo kagongwa na fulani na fulani lazima heshima yako itashuka.

Kisaikolojia mwanamke ambaye ashatumika anakuja na comparisons zinazotakana na kumbukumbu za maex wake. Kwahiyo hawezi kuwa na utulivu wa kihisia vilevile uwezo wake wa kujenga bond lazima uwe hafifu hapo
Ndio maana Kuna wimbi kubwa sana la wake za watu kuliwa
 
Inaweza kuonekana kuwa ni kebehi lakini ki ukweli kuoa mwanamke ambaye ameshaondolewa usichana wake ni sawa na kula chakula alichobakisha mtu mwingine ( MAKOMBO).....

Labda iwe alishawahi kuolewa then wakashindwana na mwenzake kwa kuwa NDOA ni jambo la heshima....lakini sio mtu amepuyanga na wanaume kadhaa ambao wamevunja mlango kihuni alafu unaletewa unakuja kubebeshwa mzigo wa mahari......

Ndio hivyo tu kwa kuwa dunia imeshakuwa ya kishenzi lakini kimsingi kununua bidhaa ya mtumba kwa bei ya mpya ni utapeli....

Imagine Mungu amemuumba mwanamke kwa heshima na akamuwekea kufuli kwa heshima ya mumewe na jamii yake kwa ujumla... lakini kufuli linavunjwa kihuni huku mume anakuja kula makombo
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana
 
Usiseme hivyo, mke analiwa na wahuni kwa Mpalange wewe unaoa mke ambaye Hana Marinda na bado shahawa za mwanaume mwingine anamezeshwa kwa kifupi wanammezesha hadi mikojo yao mdomoni mwake na bado ikichomoka anairudishia.

Usifanye masihara ati, muhuni wa kula tunda kimasihara na one night stand huwa mara nyingi wanapiga show za kibabe na bado wanamkula huyo Mkeo kwenye kinyeo a.k.a. TIGO wanakuachia Mwanamke ambaye Hana biKra zote mbili keshatolewa.
Ila we jamaa una tafuta ugomvi kwa nguvu 🤣
 
Hoja ni nzuri mkuu , ila huwa najaribu kufikiria na upande wetu wa pili, ni wangapi tunatoka nao kama , lakini wale tunaotaka wawe wetu hatutaki waguswe.
Sijui lakini labda kwa vile mimi si mshiriki sana wa sex, sometime namaliza mwaka No sex ndio maana siitiliimaana kama inavyo paswa.
Suala sio kutoka na wanawake, suala ni unatoka na kundi lipi la wanawake? Kama bado unataka kuendelea kucheza recklessly lipo kundi la single mothers, feminists, wanawake wa bar, wadangaji, vidada vya mjini vyenye tamaa n.k cheza recklessly kwenye hiyo pool. Bikira sio uwanja wa majaribio. Huyo muache kwa ajiri wa mumewe mtarajiwa. Mwanamke amechezewa na mwanaume ambae alimtoa bikira na akumuoa, sio waliofuata baada ya hapo.
 
Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga

Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili kabla ya harusi walipiga game ya kuagana. Baada ya game, mkeo akalala ubavuni mwa muhuni anapapasa kifua huku taratibu kwa sauti ya kudeka akimwambia "mimi naoelewa tu kwa sababu wazazi wamenilazimisha lakini wewe ndo mwanaume ninaekupenda".

Sasa hao wanaume wote hapo juu mkeo atawaalika harusini au kuna namna atafanya taarifa ziwafikie, na kuna ambao watakuwepo ukumbini.

Nataka nikwambie kitu kama ulikua haujui. Kadili mwanamke anavyotumika ndivyo atataka habari za harusi yake zisambae zaidi. Kwanini? kwa sababu hiyo harusi kwake ni jukwaa la kuwashushua wanaume wote waliom-dump na mashoga zake waliosema haolewi kwa sababu wanajua makandokando yake.

The more experienced she is the louder the ceremony. The purer she is the simpler her wedding dreams.

She is not celebrating a man, she is flexing her past. "see? i got married after all". That's a message she is trying to send.

Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira.

Don’t be a simp
Brother angu una makasiriko sanaa sanaa sanaa

Ngoja nianze kupiga JIBAPA HAPA BAADA YA KULA UGALI NA KUKU WA KIENYEJIII
 
Wakati mwingine wanaume tuache kuwa wabinafsi. Unaposema sijui mwanamke kashatumika, sijui hana marinda, sijui kalishwa shahawa na kadhalika, Je? Ni nani aliyemfanyia hayo?? Na huyo mwanaume wake wa kwanza alikuwa anatafuta nini kwake Kama hakuwa na lengo la kumuoa??

Kwenye mambo haya ya mapenzi sote tunajua mara nyingi mwanamke ndio anafatwa, huwezi kukuta mwanamke ndio anamtongoza mwanaume. Na mwanamke hawezi kuamua mtu wa kumuoa au kumlazimisha huyo aliyemtoa bikra amuoe. Hayo ni maamuzi ya mwanaume. Kwaiyo hapa tuache ubinafsi, unakuta mtu anaongea hivyo wakati kashaharibu bikra nyingi na hajawaoa. Unaweza kupata bikra na akakusumbua tu au ukaoa ambaye sio bikra na akawa bora kwako. Hakuna guarantee kwamba bikra ndio hutengeneza mke bora. Ukipata bikra ni vyema shukuru na ulkikosa basi kubaliana na hali usikufuru.

Wewe tafuta mwanamke unayeona mnaendana, jenga naye maisha... Mambo mengine huwezi Kuya control hapa duniani. Utajiumiza bure. Kwa kutaka kumfanya mtu awe 'object' yako kwamba ni wewe tu ndio una access naye tangu azaliiwe. You're not the first to see her and you're not the last either.
Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Hakuna kinachoweza kufanyika bila idhini yake, labda awe amebakwa. Sasa kama thamani yake ipo kwenye kujitunza na anachanua mapaja kwa hiyari yake hapo ni yeye ndie atakaewajibika
 
Kinachosababisha wanawake kuwa used ni sisi wanaume, tunavopiga na kuacha makusudi, hao tunaowaacha nani awaoe?, wanaume wote tukiamua kufunga zipu hadi ndoa, bikra tutakutana nazo sana tu Natafuta Ajira
Mimi nitalaumu mwanaume ambae amewatoa bikira wanawake na kuwaacha, lakini kama wanawake unaokutana nao tayari washatumika ukipiga na kusepa hauna hatia yoyote. Taking into account, sio wanaume wote wanakutana na bikira kwenye historia ya mahusiano yao. Tusiwabebeshe wanaume wema makosa ya badboys eti tu kwa sababu wote ni wanaume
 
Hayo mambo mbona ya kawaida.Duniani hapa hizo ndo vurugu zenyewe.Wewe unataka watu waoe na kuelewa na malaika.Mtu ametumika hajatumika haikuhusu wala sio suala la kujali na kuumiza kichwa as long wote mmeamua kuunganisha team kuyasogeza maisha ya hapa duniani, ambayo hata hatujui lengo lake ni nini hasa.
Unajieleza sana mkuu
 
Na wakati wa kuoa ukifika unaokota embe lako unaenda kufia mbele huko, sio unaharibu ya wenzako halafu unataka la kwako somehow kimiujiza utunziwe.
Mwanaume ambaye tayari ashatoa bikira za wanawake huyu hastaili kuoa bikira. Lakini ambae wanawake wote aliokutana nao kawakuta washatumika huyu bado ana haki ya kuprefer bikira. Taking into account sio wanaume wote wanakutana na bikira kwenye historia yao. Hatuwezi kuwaangushia lawama wanaume wema kwa kazi ikiyofanywa na badboys eti kwa sababu wote ni wanaume.
 
Back
Top Bottom