Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Usiseme hivyo, mke analiwa na wahuni kwa Mpalange wewe unaoa mke ambaye Hana Marinda na bado shahawa za mwanaume mwingine anamezeshwa kwa kifupi wanammezesha hadi mikojo yao mdomoni mwake na bado ikichomoka anairudishia.
Ww kenge kumbe hua mnairudishia ikichomoka? Ah wanawake mna siri sana 🙌
 
Kuna waliooa wanawake used, ndoa zao zina amani Kuna waliooa bikra wakachemka, hao tuwazungumzieje au ndo ile exceptions doesn't make a rule
Mustakabali wa ndoa/mahusiano ni fumbo, ni kama kubet tu. Lakini hiyo sio sababu ya wewe kufanya gamble kwa mwanamke ambaye tayari ushaona redflags
 
Mwanaume ambaye tayari ashatoa bikira za wanawake huyu hastaili kuoa bikira. Lakini ambae wanawake wote aliokutana nao kawakuta washatumika huyu bado ana haki ya kuprefer bikira. Taking into account sio wanaume wote wanakutana na bikira kwenye historia yao. Hatuwezi kuwaangushia lawama wanaume wema kwa kazi ikiyofanywa na badboys eti kwa sababu wote ni wanaume.
Yes, and wala hawalaumiwi, suala ni kwamba bad boys, good boys, bad girls, good girls wote wanaishi kwenye kapu moja linaitwa dunia na jirani zako wasipozibua vyoo hata kama wewe ni msafi inzi watakuja mpaka kwako.
 
Kwenye swala la maadili mkuu Natafuta Ajira upo spot on, yaani vijana wajifunze japo ni ngumu coz kupata mdada/binti wa namna hiyo zama hizi ni kuokota almasi.

Wote tumetumika sana, sio me wala ke ila ngono imekuwa cheap sana nowadays kwa kweli. Linapokuja swala kuoa, one has to be very careful.
Lakini mkuu Mungu alikuwa na kusudi lake kuweka seal pale.
Ukifika dukani unaweza kulipia soda ama beer imefunguliwa? Waliotengeneza hiko kinywaji wana maana yao kuweka seal.

Namuelewa muanzisha mada..
 
Watu mnahangaika sana, yaani kuoa tu mpaka niangalie yote hayo, niache kutafuta hela nihangaikie bikra.

Binafsi mwanamke aliyenipenda ndo nilimsogeza tuishi na kama ningemkuta bikra ningefunga nae pingu za maisha kabisa.

Tupo tunasogeza siku, cha muhimu tunapendana, tunaheshimiana na kuthaminiana.
Mkuu kwahiyo bikra ungemuoa ila used unatumia mfumo wa sogea tukae
 
Wakati mwingine wanaume tuache kuwa wabinafsi. Unaposema sijui mwanamke kashatumika, sijui hana marinda, sijui kalishwa shahawa na kadhalika, Je? Ni nani aliyemfanyia hayo?? Na huyo mwanaume wake wa kwanza alikuwa anatafuta nini kwake Kama hakuwa na lengo la kumuoa??

Kwenye mambo haya ya mapenzi sote tunajua mara nyingi mwanamke ndio anafatwa, huwezi kukuta mwanamke ndio anamtongoza mwanaume. Na mwanamke hawezi kuamua mtu wa kumuoa au kumlazimisha huyo aliyemtoa bikra amuoe. Hayo ni maamuzi ya mwanaume. Kwaiyo hapa tuache ubinafsi, unakuta mtu anaongea hivyo wakati kashaharibu bikra nyingi na hajawaoa. Unaweza kupata bikra na akakusumbua tu au ukaoa ambaye sio bikra na akawa bora kwako. Hakuna guarantee kwamba bikra ndio hutengeneza mke bora. Ukipata bikra ni vyema shukuru na ulkikosa basi kubaliana na hali usikufuru.

Wewe tafuta mwanamke unayeona mnaendana, jenga naye maisha... Mambo mengine huwezi Kuya control hapa duniani. Utajiumiza bure. Kwa kutaka kumfanya mtu awe 'object' yako kwamba ni wewe tu ndio una access naye tangu azaliiwe. You're not the first to see her and you're not the last either.
Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom