Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

'Mpe ajira'ili aache kuwananga ,,ila kaandika ukweli mtupu...km mwanamke amepoteza bikra yake kizembe hana haja ya kupigiwa matarumbeta huyo ni wa kuvuta na kuishi nae tuu kihuni km alivyofanya uhuni wake na kuipoteza bikra kizembe
Hu deserve mwanamke bikra huku wewe mwenyewe bikra huna

NB : sijasema msijadiliane ila kuweni na mipaka huyu jamaa ukifatilia mijadala yake utagundua ni mtu asie weza kujenga hoja kwa staha bila kudhalilisha wanawake
 
Huu ugomvi wako na hawa mabinti wa miaka hii utakosa wa kukutetea, Mimi kama balozi wa nyumba 10 nitashindwa kukutafutia wakili msomi wakiku-sue 🤪


Ukimkuta ambaye hajatumika sana hakuna shida

Mbona tunanunua magari Japan yametembea 85,000km lakini ikija bongo inaonekana mpya 😎
 
Back
Top Bottom