Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Wanawake mnajidhalilisha wenyewe
Mtu anasingizia eti alishawishiwa mpaka akatolewa bikra. Je huyu mwanamke angekubali kutembea uchi mbele za watu bila nguo kwa kushawishiwa tu?

Wanawake jitunzeni na jistirini ili muheshimike
Mtoa mada ameamua tu kusema ukweli mchungu ambao ni wajibu kwa kuwa sasa hivi kumekuwa na wimbi la wanaume dhaifu wanao downplay impacts of these naive vile women na hivyo kupelekea kukosekana uwajibikaji.
 
Too late bro
 
Hizi aina za wanawake mnazoziandika humu za kutoa mimba sijui kumpa X ili amuage kabda ya kuolewa wanataka heshima?
 
Unata viko vingapi nikuagizie amazon hebu weka hesabu zako hapa! Maana ni kiko kila kona kama wimbo ccm😁
Kwa hii tone ya haya maandishi, ngoja nitoe taarifa kwa balozi wa nyumba 10

Nahisi ukiniletea Kiko, unaweza ukaja kunibonda babu yako bure 🤗

Kutokana na afya mgogoro ya babu yenu, nahitaji Kiko 12 tu, wastani wa Kiko moja kwa mwezi 🤭
 
Hahhaah sina nguvu za kukubonda!

Kiko 12 umepata ili miezi 12 upumzishe wajukuu zako na hicho kivuta kiko sasa😎
 
Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga

Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili kabla ya harusi walipiga game ya kuagana. Baada ya game, mkeo akalala ubavuni mwa muhuni anapapasa kifua huku taratibu kwa sauti ya kudeka akimwambia "mimi naoelewa tu kwa sababu wazazi wamenilazimisha lakini wewe ndo mwanaume ninaekupenda".

Sasa hao wanaume wote hapo juu mkeo atawaalika harusini au kuna namna atafanya taarifa ziwafikie, na kuna ambao watakuwepo ukumbini.

Nataka nikwambie kitu kama ulikua haujui. Kadili mwanamke anavyotumika ndivyo atataka habari za harusi yake zisambae zaidi. Kwanini? kwa sababu hiyo harusi kwake ni jukwaa la kuwashushua wanaume wote waliom-dump na mashoga zake waliosema haolewi kwa sababu wanajua makandokando yake.

The more experienced she is the louder the ceremony. The purer she is the simpler her wedding dreams.

She is not celebrating a man, she is flexing her past. "see? i got married after all". That's a message she is trying to send.

Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira.

Don’t be a simp

Uko sawa harusi nyingi ni social performances rather than purely personal unions.
ila hapo uko kwenye mgogoro mzito na your own consciousness.. kwamba unataka ndoa iwe proof of your worth, rather than a partnership.
 
Hivi jamani utajuaje kama manzi wako anatoa tigo??,najaribu kuwaza sipati jibu au ndio uanze kumfatilia kupitia simu yake.
Kwenye simu ndo kuna tiGO, mbona unaanzia mbali mwamba!!!, we muweke doggy style tu, ukiangalia kwa umakini lile tundu kama linapigwa utajua tu.

Labda kama umeingia juzi tu kwenye hii tasnia ndo hutajua.
 
Kinachowasumbua vijana wengi wanaohaingaikia bikra ni;

1. Kutojiamini (insecurity)

2. Hofu ya kuachwa

3. Kujiamini kidogo kwenye masuala ya ngono

4. Kuumizwa/kusalitiwa zamani

5. Kutokuwa na trust

6. Kutaka kumcontrol mwenza

7. Nguvu za kiume au vibamia vinaweza kuwa sababu kwa baadhi ya watu, lakini si lazima.

Binafsi, nikichagua mwanamke wa kuwa naye, naangalia zaidi tabia yake awe mnyenyekevu, anipende, aniheshimu na kunithamini. Hayo yakiwepo, tunaishi tu.

Sijishughulishi sana na historia ya mahusiano ya mwanamke maana Nina vitu vingi vya kufanya hapa duniani, kwa sababu mwisho wa siku hamna sehemu ninayoenda naye pamoja na wanaume aliowahi kuwa nao.

Mimi mwenyewe si mkamilifu, nimeshadate na wanawake zaidi ya 60, bila kuhesabu night stands, nilionunua na kimasihara. Nikikaa nikahesabu vizuri, body count yangu inaweza kufika hata 692.
Kwa hiyo siwezi kudai mwanamke awe na historia safi wakati mimi mwenyewe nina historia yangu. Ninachotafuta ni mwanamke ninayeweza kujenga naye maisha ya sasa yajayo mi siyajui.

Naamini maisha hayapaswi kuwa serious kiasi cha kufanya kila jambo, hasa mambo ya wanawake, kuwa chanzo cha stress na furaha yako. Mwanamke ni sehemu ya maisha, siyo maisha yote. Kuna vitu vingi vya kufanya, kujenga, kujifunza na kufurahia hapa duniani.
Ishi maisha ya furaha na amani to the fullest huku ukisubiri siku zako. Maana wewe siyo mti kwamba umeletwa duniani uishi miaka mingi ili mwisho wa siku uje uchanwe kuwa mbao. 😄

Usimpe mwanamke mamlaka ya kuamua kama utafurahi au utateseka. Mpende, mheshimu na furahia uwepo wake, lakini usisahau kwamba maisha yako yana thamani hata bila yeye.
 
Hahaha, MUNGU fundi sana, yaani kahakikisha dunia ina kila aina ya wanawake na kila aina ya wanaume mwisho wa siku mzaliane mfe dunia iendelee kuzunguka.

Kwamba mkuu wewe hata kama body count inasoma 1000 na watoto 4 baba tofauti fresh tu, mradi akupende, akuheshimu na kukuthamini na wanaotaka bikira wao hawajiamini au wanahofu ya kugongewa?
 
Single mother siwezi hata kumdate maana naweza kunogewa labda itokee kimasihara, afu body count yake we unaijuaje au hua mnawauliza?
 
Wewe ndo umesema hujali kuhusu body count kwa kusema bikira si ishu. Sasa mbona unaanza kujali tena mkuu? Halafu unabagua tena single mother? OK, akiwa keshatoa tumimba viwili vitatu?
 
Back
Top Bottom