Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
Ila sisi binadamu si wakamilifu mkuu. Kuna kutapeliwa na kudanganywa pia, achilia mbali kubakwa. Timu inaweza kufungwa kwa makosa ya wachezaji wa ndani pia, siyo kwa makosa ya golikipa tu peke yake.Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Hakuna kinachoweza kufanyika bila idhini yake, labda awe amebakwa. Sasa kama thamani yake ipo kwenye kujitunza na anachanua mapaja kwa hiyari yake hapo ni yeye ndie atakaewajibika