Catch a flight and then meet me at the Zuri Zanzibar Hotel..By plane would be better, because I’m afraid of water
Bill zote nipewe mimi , asipewe Ally wala mtu mwingine
Catch a flight and then meet me at the Zuri Zanzibar Hotel..By plane would be better, because I’m afraid of water
Maneno haya sio mageni jijini daslamu labda kwa mgeni wa jiji😅Catch a flight and then meet me at the Zuri Zanzibar Hotel..
Bill zote nipewe mimi , asipewe Ally wala mtu mwingine
Ushaingia uogaManeno haya sio mageni jijini daslamu labda kwa mgeni wa jiji😅
Wala kwamba naogopa nini kwa mfanoUshaingia uoga
Kuwa paid afterWala kwamba naogopa nini kwa mfano
Shenziiii zako kijana😃Kuwa paid after
You are so scared.Shinziiii zako kijana😃
Wasi wasi ndio akiliYou are so scared.
Eeeh sawaWasi wasi ndio akili
OkayEeeh sawa
ngoja nicheki kamusi hapa ili kujiridhisha kabla sijachangia hoja 🐒Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu?
Au ukasikia utamu lakini huna furaha?
For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha
Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo
Exp: Labda huumwi, huna msongo wa mawazo, huna madeni, huuguzi
Yaani huna changamoto zinazoweza kukunyima raha
Mimi hutafsiri hivyo
Then utamuuu😋
mimi nauelewa kama ladha nzuri hivi ya kitu
Exp: ukilamba asali utasema, utasema hii asali ni tamu sana!
Kula au kufanya kitu kitamu unaweza ukahisi utamu
wengine husema,
Hii ni tamu mpaka kisogoni🤪
Wengine husema wanasikilizia utamu sasa sijui wanakiliziaje🤣
It’s Furahi Day leo, mada ni tamu na laini😊
Nb: usiniulize kama hii mada nimeikula mpka nikasikia utamu wake sitaki🙅♂️
So, wewe unaelewaje ukisikia neno furaha, neno raha, na neno utamu? Karibuni, guys
ShesRise_1 ✋️
Mpka ucheki kamsi aisee dah😅ngoja nicheki kamusi hapa ili kujiridhisha kabla sijachangia hoja 🐒
Yes,Mpka ucheki kamsi aisee dah😅
Kumbe huniamini mdau 😅Yes,
maana wew unaweza kunipiga kamba wewe, nakujua sana ndugu mdau,
hope umejiridhisha enheee umejua tofauti iliyopokwahiyo lazima nijiridhishe kuhusu huo utamu na furaha tofauti yake ni nn kwenye kamusi ya kiswahili ndipo nichangie hoja vizuri na kwa uhakika zaidi 🐒
Amen mtumishina FURAHA ,amani,ni moja ya baadhi ya tunda lo ROHO mtakatifu.FURAHA inatoka ndani yako siyo kwa vitu vya nje.
Mungu ama Yesu anaweza kukupa furaha na amani ya moyo wako na Roho yako.
Vitu vya nje haviwezi kikupa FURAHA na Amani ya KUDUMU.
Mimi humuamini Mungu pekee,Kumbe huniamini mdau 😅
hope umejiridhisha enheee umejua tofauti iliyopo
Ooh HaleluyaaaaaMimi humuamini Mungu pekee,
sio nyinyi ujanja unjanja mwingi 🐒
bado sana hujanishawishi Delilah 🐒Ooh Haleluyaaaaa
Mimi ni mtumishi wa Mungu huna budi kuniamini kijana right?
Niamini sitakunyoa nywele zakobado sana hujanishawishi Delilah 🐒